Sospeter Khamisy (@sospeterkhamis3) 's Twitter Profile
Sospeter Khamisy

@sospeterkhamis3

ID: 1585157056977420288

calendar_today26-10-2022 06:31:34

70 Tweet

52 Takipรงi

159 Takip Edilen

Mbwana Mshindo (@mbwana_mshindo) 's Twitter Profile Photo

โœจ๏ธSAIDO AMFUNIKA AZIZ KI. Saido ana goli 2 na Assist 2 katika mechi 6; Aziz Ki mechi 7,goli 2. Yanga waliteleza kwa Saido. Next Match Geita v Yanga Okt 29 Kirumba.

โœจ๏ธSAIDO AMFUNIKA AZIZ KI. Saido ana goli 2 na Assist 2 katika mechi 6; Aziz Ki mechi 7,goli 2. Yanga waliteleza kwa Saido. Next Match Geita v Yanga Okt 29 Kirumba.
ILHAM๐Ÿ–ค (@claramogul) 's Twitter Profile Photo

NJOOONI TUWACHEKE HAPA HUKO MTATUKANWA๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Peter Dafi (@peterdafi) 's Twitter Profile Photo

Inaweza ikawa inachekesha kuona Kijana wa Bodaboda na Kofia yake Ngumu Kabebelea Kipande cha Mbele ya Ndege, Utajiuliza anakimbia nacho ama anasaidia? Lakini Serikali inapaswa Kujipanga sana kwenye swala Ajali na Majanga ya Maji, Moto, Nk.. Bado tuko Nyuma sana.

Inaweza ikawa inachekesha kuona Kijana wa Bodaboda na Kofia yake Ngumu Kabebelea Kipande cha Mbele ya Ndege, Utajiuliza anakimbia nacho ama anasaidia?
Lakini Serikali inapaswa Kujipanga sana kwenye swala Ajali na Majanga ya Maji, Moto, Nk..
Bado tuko Nyuma sana.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kongole @YangaSC1935 kwa ushindi na kufanikiwa kusonga mbele katika michuano ya soka la wanaume kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, msimu wa 2022/2023. Nawatakia kila la kheri katika hatua inayofuata.

Kongole @YangaSC1935 kwa ushindi na kufanikiwa kusonga mbele katika michuano ya soka la wanaume kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, msimu wa 2022/2023. Nawatakia kila la kheri katika hatua inayofuata.