
Sophia Mjema
@sophiamjema1
ID: 815808225144700934
02-01-2017 06:33:32
455 Tweet
11,11K Followers
71 Following



Katibu Mkuu wa (CCM), Ndugu Daniel Godfrey Chongolo , leo Ijumaa, Septemba 29, 2023, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Bi Chen Mingjian, aliyeambatana na ujumbe wake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba DSM. #KaziIendelee




Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Daniel Godfrey Chongolo na Wajumbe wa Sekretariet Mkoani Katavi. #KaziIendelee #KaziYaChamaKwaWananchi





Ziara ya Kitaifa ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan katika Mji wa New Delhi nchini India Narendra Modi Amit Shah Amit Malviya BJP







Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan (Samia Suluhu ), kipekeee niweze kumshukuru yeye kwa kuweza kuniamini tena ili niweze kumsaidia katika jukumu la Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.

