Soga za Bongo (@sogazabongo) 's Twitter Profile
Soga za Bongo

@sogazabongo

Jukwaa la Lugha ya Kiswahili linalozungumzia Masuala ya Mitindo ya Maisha, Uchumi na Burudani hasa Masuala ya pesa zinavyozunguka kwenye sanaa pia.

ID: 1575391801837502465

calendar_today29-09-2022 07:48:37

10 Tweet

107 Takipçi

99 Takip Edilen

Malafyale (@mwansasusnr) 's Twitter Profile Photo

Qatar wanatufundisha kwamba Financial Freedom ndio msingi Mkuu wa Uhuru wowote. Kipato huleta Misimamo, wamepata World Cup na wamekataa kila kitu wanachoona kwao sio sawa. Tutafute pesa tupate Uhuru wa Kiuchumi, na tusisahau Maskini hana Kiapo.

Soga za Bongo (@sogazabongo) 's Twitter Profile Photo

Msanii Zuhura Othman Soud maarufu kama “Zuchu” Amefungiwa kufanya kazi zote za Kisanaa Visiwani Zanzibar kwa miezi 6 na Baraza la Sanaa la Zanzibar baada ya kukiuka maadili ya kizanzibari wakati akiwa akitumbuiza Visiwani humo.

Bank of Tanzania (@bankoftanzania) 's Twitter Profile Photo

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amemtembelea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, na kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amemtembelea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, na kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Soga za Bongo (@sogazabongo) 's Twitter Profile Photo

Ibrahim na Fadhili Ramadhan maarufu kama Ramadhani brothers wamerejea nchini Tanzania leo March 08 wakitokea marekani.Hivi karibuni,Kundi hili lilishinda nafasi ya 5 kwenye shindano maarufu la ‘America’s Got Talent Fantasy League’ na kujinyakulia tuzo na kitita cha USD 250,000.

Msanii maarufu wa Bongo Fleva Alikiba amezindua kituo cha redio chenye jina “Crown FM” usiku wa Jumamosi Machi 9 2024 katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dare es Salaam.Redio hiyo ya CROWN FM inapeperusha matangazo yake kwenye masafa ya 92.1 FM.

Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Miss World 2024, Bi. Halima Kopwe @halimakopwe, leo amerejea nchini Tanzania baada ya kushiriki katika mashindano hayo yaliyofanyika Mumbai, India mwaka huu.Halima ameandika historia kwa kuingia kwenye orodha ya Warembo 40 bora.

Muswada ya kufungwa kwa tiktok nchini marekani umepitishwa na wanasheria wa nchini humo jambo linalinaloweza kusababisha Mtandao huo kupigwa marufuku Nchini humo.

Katika kuendeleza sekta ya elimu nchini Tanzania, serikali imezindua mchanganyiko mpya au kombi 49 kwa wanafunzi ambao watajiunga na Kidato cha Tano mwaka 2024.

Mwigizaji maarufu wa Nollywood Nigeria, Amaechi Muonagor (62), amefariki baada ya kuugua magonjwa mbalimbali, huku kushindwa kwa figo yake kutajwa kama sehemu ya sababu ya kifo chake.