MAK Mringo (PhD) (@snrdirector) 's Twitter Profile
MAK Mringo (PhD)

@snrdirector

PARADIGMS

ID: 898241741849059328

linkhttp://www.paradigms.ac.tz calendar_today17-08-2017 17:54:54

22,22K Tweet

17,17K Followers

5,5K Following

MAK Mringo (PhD) (@snrdirector) 's Twitter Profile Photo

"WATU MUHIMU WASIOTHAMINIWA" Hii picha hapo chini ni mbaya sana, kwa sababu haivutii kuanzia watu waliopo, kinachofanyika hadi eneo.. Haina mandhari nzuri, kwa sababu inaashiria simanzi, Wanaoonekana ni wana ambao huenda umewazidi elimu, kipato, au muonekano. Pengine ni

"WATU MUHIMU WASIOTHAMINIWA"
 Hii picha hapo chini ni mbaya sana, kwa sababu haivutii kuanzia watu waliopo, kinachofanyika hadi eneo..

Haina mandhari nzuri, kwa sababu inaashiria simanzi,

Wanaoonekana ni wana ambao huenda umewazidi elimu, kipato, au muonekano.

Pengine ni
MAK Mringo (PhD) (@snrdirector) 's Twitter Profile Photo

Hivi huyu bwana yuko wapi? Ni utaratibu gani unaopaswa kufuatwa ili arudishwe kazini? Kuna ubaya gani kuongezewa mkataba wakati bado ana nguvu, uwezo na umahiri? instagram.com/reel/DJqWFD6Kq…

MAK Mringo (PhD) (@snrdirector) 's Twitter Profile Photo

*Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.* Tumehuishwa tena salama. Alhamdulillah! Tukiwa bado tuko kwenye kuadhimisha Mwezi wa Dhul-Qa'adah, mmoja ktk *_Miezi Minne Mitakatifu,_* tukumbuke kuwa imepokewa kutoka kwa Adiyy bin Al-Hatim (رضي الله عنه) akisema amesema Mtume

MAK Mringo (PhD) (@snrdirector) 's Twitter Profile Photo

*Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh* Alhamdulillah! Tumehuishwa tena salama. Tupoelekea kuanza Mwezi mwingine Mtakatifu wa _*Dhul-Hijja,*_ tujikumbushe kuhusu Siku Kumi za mwanzo za _*Dhul Hijja*_ na ubora wake, kama ilivyopokewa kutoka kwa Ibn 'Abbas (رضي الله عنه)

ASALAAM. ALEKUM *BAADHI YA MAMBO MUHIMU AMBAYO MUISLAMU ANAPASWA KUYAJUA* *Nguzo za Uislamu* *1. Shahada* *2. Swala* *3. Zaka* *4. Saumu (Funga)* *5. Hija* *Nguzo za Imani* *1. Kumuamini Allah* *2. Kuamini Malaika* *3. Kuamini Vitabu* *4. Kuamini Mitume* *5.

MAK Mringo (PhD) (@snrdirector) 's Twitter Profile Photo

*Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.* Alhamdulilah! Tumehuishwa tena salama. *Kuhusu siku ya Arafa na fadhila zipatikazo ndani yake, tunasoma kama ifuatavyo.* Imepokewa kutoka kwa Abu Qatada (رضي الله عنه) akisema, aliulizwa Mtume (ﷺ) kuhusu kufunga siku ya *Arafa*

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Kila mtu anaweza kuwa tajiri siku moja lakini wachache wanaweza kubakia katika utajiri. Wanaobakia kuwa matajiri ni wale wenye utajiri wa roho, wenye kuinua wengine, wenye utu, wenye nia njema na utajiri wao wa mali na wenye nidhamu ya maisha na hofu ya Mungu." ~Togolani Mavura.

"Kila mtu anaweza kuwa tajiri siku moja lakini wachache wanaweza kubakia katika utajiri. Wanaobakia kuwa matajiri ni wale wenye utajiri wa roho, wenye kuinua wengine, wenye utu, wenye nia njema na utajiri wao wa mali na wenye nidhamu ya maisha na hofu ya Mungu." ~Togolani Mavura.
MAK Mringo (PhD) (@snrdirector) 's Twitter Profile Photo

*Cleaning Blood Vessels: A Healthy Approach* Maintaining healthy blood vessels is crucial for overall well-being. While there's no magic bullet to "clean" blood vessels, here are some lifestyle changes and dietary suggestions to support vascular health: *Lifestyle Changes:* 1.

MAK Mringo (PhD) (@snrdirector) 's Twitter Profile Photo

*_THERE ARE NO REGRETS IN LIFE, JUST LESSONS,_* *_BECAUSE THE PURPOSE OF LIFE IS TO LIVE IT,_* *_TO TEST EXPERIENCE TO THE UTMOST, TO REACH OUT EAGERLY AND WITHOUT FEAR FOR NEWER AND RICHER EXPERIENCE._* *_HAVE A GLORIOUS AND BLESSED WEEKEND._*