Smell Point (@smell_point) 's Twitter Profile
Smell Point

@smell_point

โ–ซ๏ธkuhusu kunukia vizuri,nitafute ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
โ–ซ๏ธEmail:[email protected]

chat.whatsapp.com/BT8FdXXGc942aqโ€ฆ

ID: 1848685967613288448

calendar_today22-10-2024 11:21:24

3,3K Tweet

303 Followers

470 Following

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Unajua nilidhani watu ambao hawaoni tunayoyaona ni hawana akili, au wamepuuza, kumbe bwana ni mkwamo wa Kiroho. Spiritually Nchi yetu ipo kwenye madhabau ya Shetani, na Sadaka yake mnaijuia. Tusali wakuu, kama uliacha kusali now is time kwa nguvu,shirikisheni Mama zetu ๐Ÿ™๐Ÿผ

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Usiogope, kwa maana Mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana Mimi ndimi Mungu wako. Nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia; nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki Yangu.โ€ โ€” Isaya 41:10

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

โ€œJamii inapaswa kutambua kwamba makosa yanayofanywa mtandaoni yana sheria zake. Ni vyema yeyote anayeathirika kuripoti katika vituo vya polisi ili sheria ifuate mkondo wake.โ€ โ€“ Inspekta Sadik Ali Sultan, Makao Makuu ya Polisi Zanzibar #MwanamkeNiKiongozi #StopGBV

โ€œJamii inapaswa kutambua kwamba makosa yanayofanywa mtandaoni yana sheria zake. Ni vyema yeyote anayeathirika kuripoti katika vituo vya polisi ili sheria ifuate mkondo wake.โ€ โ€“ Inspekta Sadik Ali Sultan, Makao Makuu ya Polisi Zanzibar
#MwanamkeNiKiongozi
#StopGBV
SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Hakuna baraka kubwa ya kifedha kama kuwa na wazazi wanaojiweza... Vijana wengi sana wanachelewa kupindua meza kwasababu ya kusaidia wazazi wako Kihisia, kimaendeleo na kifedha vijana wanaumia sana, ila hakuna jinsi๐Ÿ˜ฉ

M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Hivi ni kweli kabisa kwamba CCM wamekosa mbinu za kukabiliana kisiasa na Tundu Lissu akiwa huru?? Embu bhana mwachieni tupate burudani.

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

The world is filled with incredible people you havent even met yet. Dont shrink yourself trying to stay attached to someone who no longer sees your value the way you see theirs.

Miss Chelsea1221 (@misschelsea1221) 's Twitter Profile Photo

Naomba Mshow #Love kwa Repost๐Ÿ™๐Ÿ˜ ๐Ÿ‘‰Bei 27,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0714336827 ๐Ÿ‘‰Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA

Naomba Mshow #Love kwa Repost๐Ÿ™๐Ÿ˜

๐Ÿ‘‰Bei   27,000/=

Wa.me/+255717251747
Au 0714336827

๐Ÿ‘‰Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 23:4 โ€œNijapopita katika bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya; kwa maana wewe upo pamoja nami; fimbo yako na gongo lako vinanifariji.โ€

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kuna nyakati: โ€ขUnafanya kila kitu โ€œrightโ€ โ€ขUnafuata mfumo sahihi โ€ขUnajituma kwa nguvu Lakini bado hakuna matokeo. ๐Ÿ‘‰ Hapo ndipo unahitaji zaidi ya juhudi, unahitaji mwelekeo sahihi (divine direction). Na utaupata kwa NENO LA MUNGU. Soma Luka 5:5-11 Good Morning Good people ๐Ÿ™๐Ÿผ