Benson Wakoli (@sirwakoli) 's Twitter Profile
Benson Wakoli

@sirwakoli

Journaliste Radio France Int Kiswahili @rfi_sw
Human Rights reporter
MC, Voice over artist and Inspirational speaker .

ID: 2907892667

calendar_today06-12-2014 15:49:12

1,1K Tweet

161 Takipçi

964 Takip Edilen

RFI Kiswahili (@rfi_sw) 's Twitter Profile Photo

Mazishi ya viongozi wa usalama wa Iran, Ali Larijani na Gholamreza Soleimani, yanafanyika leo mjini Tehran, yakihudhuriwa na umati mkubwa wa waombolezaji. Kama anavyotuarifu Florence Kiwuwa #iran #alirajani #gHOLAMREZA #Tehran #Army #viral

RFI Kiswahili (@rfi_sw) 's Twitter Profile Photo

Habari ! Hebu tuandikie hapo kwenye comment unatufuatilia ukiwa wapi? #RFIKiswahili #dunia #BreakingNews #NewsNow #iran #Israel #nigeria #DRC #kenya #Rwanda #belgium #fyp

RFI Kiswahili (@rfi_sw) 's Twitter Profile Photo

ONYO!PICHA ZA KUOGOFYA! Wapalestina katika mji wa Gaza wamejitokeza kuiaga miili ya watu wanne waliouawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Israel, kwa mujibu wa wahudumu wa afya katika eneo hilo. #Gaza #palestine #Israel #israelgaza #attacks

RFI Kiswahili (@rfi_sw) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Kenya imeanza tena ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) baada ya kusitishwa kwa takribani miaka sita kutokana na changamoto za ufadhili. #SGR #kENYA #williamRuto

RFI Kiswahili (@rfi_sw) 's Twitter Profile Photo

Nigeria na Uingereza zimetiliana saini makubaliano mapya yanayolenga kuharakisha urejeshwaji wa raia wa Nigeria wanaoishi Uingereza bila vibali halali. #nigeria #UK #fyp #IIMIGRANTS #assylum

RFI Kiswahili (@rfi_sw) 's Twitter Profile Photo

Ni zipi athari za mzozo unaoendelea kati ya Iran na Israel wakati huu vita vikiendelea ? Ali Bilali na maelezo zaidi #iran #Israel #FuelPrices #fyp #usa #attack

RFI Kiswahili (@rfi_sw) 's Twitter Profile Photo

Mabaki ya kombora ambayo bado yanatoa moshi yamepatikana katika kijiji cha Beitin, eneo la Ukingo wa Magharibi karibu na Ramallah. #Ramalla #Betin #fyp #iran #WestBank

RFI Kiswahili (@rfi_sw) 's Twitter Profile Photo

Kenya imetangaza baadhi ya sehemu za majimbo ya Meru, Laikipia na Isiolo kuwa maeneo ya usalama mdogo na hatari  kutokana muendelezo wa wizi wa mifugo katika eneo hilo ambao  umechangia maafa. Serikali inalenga kuendesha operesheni dhidi ya wahusika. #kenya #Bandits #Meru

Kenya imetangaza baadhi ya sehemu za majimbo ya Meru, Laikipia na Isiolo kuwa maeneo ya usalama mdogo na hatari  kutokana muendelezo wa wizi wa mifugo katika  eneo hilo ambao  umechangia maafa.

Serikali inalenga kuendesha operesheni dhidi ya wahusika.

#kenya #Bandits #Meru
RFI Kiswahili (@rfi_sw) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema Iran japokuwa ingali na uwezo kuishambulia nchi yake kwa makombora, haiwezi kutishia uwepo wa Israeli kama ilivyokuwa awali. #Netanyahu #IranWar #Middleeast

RFI Kiswahili (@rfi_sw) 's Twitter Profile Photo

Timu ya taifa ya soka ya DRC "Leopards" imefuzu kombe la dunia kwa mara ya pili katika historia baada ya ushindi dhidi ya Jamaica leo asubuhi. Safari ya Leopards haijakuwa rahisi. Mwandishi wetu The Sports Archbishop 🇰🇪 anasimulia #KombeLaDunia #FIFA #DRC #Soka

RFI Kiswahili (@rfi_sw) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Leo wa 14, amewataka viongozi wa dunia wenye uwezo wa kuanzisha vita kuchagua amani, huu ukiwa ni ujumbe wake wa kwanza wa pasaka tangu alipochaguliwa kwenye wadhifa huo. #rfikiswahili #PopeLeoXIII #middleeast