Wachezaji wa timu kubwa na iliyozoea kusafiri nje ya nchi wakiendelea kujifua kujiandaa na msimu mpya.
Tupo hapa kujiandaa kuchukua makombe 🏆na sio kushangaa nchi za watu 🤣 #NguvuMoja
Ni mchezaji mwenye sifa zote za kuwa winga, kijana mdogo na mwenye shauku ya kufika mbali, Jimmyson Steven Mwanuke (18) atakuwa sehemu ya kikosi chetu msimu ujao.
Karibu Simba, Jimmyson! #NguvuMoja
Mchezo wa kirafiki dhidi ya Cambiasso umemalizika tukiibuka na ushindi wa mabao 3-2. Magoli yetu yamefungwa na Kibu Denis (2) na Sadio Kanoute huku magoli yote ya Cambiasso yakifungwa na Simon Msuva.
Taarifa zaidi kwenye Simba App. #NguvuMoja