Yusuf ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sigmamale571) 's Twitter Profile
Yusuf ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@sigmamale571

marine scientist/ Aquaculturist/ scuba diver/Assistant project officer #SOAHUB TZ.

ID: 1815876034685984772

linkhttps://soatanzania.or.tz/ calendar_today23-07-2024 22:26:26

1,1K Tweet

880 Followers

3,3K Following

Yusuf ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sigmamale571) 's Twitter Profile Photo

Wakiona jezi nzuri kuliko zao, wanaanza kuhoji na kusema "Jezi zinatoka kwenye uhalisia" ๐Ÿ˜. Ww ni nani wakutupangia uhalisia wa jezi zetu tumia huo muda kuboresha design zako acha kufuatilia mambo yetu bhana ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Benjamin Fernandes ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@benji_fernandes) 's Twitter Profile Photo

August 2021: - Never built a cross border payments biz before. - First event in London. - 50 transacting customers. - No office, no $10M raised. - Living on couches/hostels, on a tourist visa in London. - 0 employees in London. 2024: - Profitable. - 500K+ customers globally. -

Mfalme๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

MALENGO YA KIUCHUMI 2025. -Fanya kazi kwa bidii -30% ya mshahara weka akiba -Jiunge money market fund -Jifunze kununua hisa -Nunua shares na hisa tunza kwa miaka 3-5 -Nunua ardhi mbali, lima kipindi cha mvua -Nunua mifugo wa kienyeji, anza na kuku #WafalmeFinance

Mfalme๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Wafalme, Uwezo mdogo kabisa wa mwanaume uwe, โ€œPush-ups 50โ€ โ€œPull-ups 20โ€ โ€œSquats 50โ€ โ€œDips 20โ€ Kama una mashaka haiwezekani, unatakiwa kuanza kuwa serious kujiweka fit kimwili.

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Badala yake msemaji wa polisi akatoa "a very casual" statement kuwa "wanachunguza picha mjongeo juu ya watu ...." As if hadi wanaandika barua yao kuhabarisha umma, walikuwa bado hawajawafahamu watu hao. Hii ilikuwa ni sawa na dhihaka kwetu mpendwa rais

Badala yake msemaji wa polisi akatoa "a very casual" statement kuwa "wanachunguza picha mjongeo juu ya watu ...." As if hadi wanaandika barua yao kuhabarisha umma, walikuwa bado hawajawafahamu watu hao.

Hii ilikuwa ni sawa na dhihaka kwetu mpendwa rais
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

TANGAZO TANGAZO TANGAZO "Huyu kijana amefariki toka tarehe 15/12/2024 hapa Ubungo NHC Hana ndugu mwili wake upo hospitali ya muhimbili. Jina: JEMSI KAHiNDI MALUNDI Anatoka: MSALALA BUKWIMBA, NYAHOLONGO Kwa anaye mfahamu awasiliane na namba hii 0713498648.."

TANGAZO TANGAZO TANGAZO 

"Huyu kijana amefariki toka tarehe 15/12/2024 hapa Ubungo NHC Hana ndugu mwili wake upo hospitali ya muhimbili.

Jina:  JEMSI KAHiNDI MALUNDI 
Anatoka:  MSALALA BUKWIMBA, NYAHOLONGO
Kwa anaye mfahamu awasiliane na namba hii 0713498648.."
P'site Shio (@psiteshio1) 's Twitter Profile Photo

Darasa la maokoto online part 2 linaanza February 01. Nafasi: 100 Muda: Usiku Mahali: WhatsApp group Malipo: TSh 0.00 Jifunze kuingiza $1 ya Kwanza Leo online BURE VIGEZO; Like, Repost kisha comment neno MAOKOTO. Nafasi ni chache Sana,

Darasa la maokoto online part 2 linaanza February 01.

Nafasi: 100
Muda: Usiku 
Mahali: WhatsApp group 
Malipo: TSh 0.00

Jifunze kuingiza $1 ya Kwanza Leo online BURE

VIGEZO; Like, Repost kisha comment neno MAOKOTO.

Nafasi ni chache Sana,
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa โŒš๏ธ๐Ÿ’ฏ UNAENDELEA KUSHUGULIKA NA VIJANA MPAKA WAFE. PRIMARY = Miaka 7 SECONDARY= Miaka 4 ADVANCE= Miaka 2 (DIPLOMA 3) DEGREE= Miaka 3-4 Unarudi Kusoma VETA = Miaka 2. Umemaliza Degree ya CIVIL ENGENIEER unaenda kusomea KUSHONA NGUO.๐Ÿ˜‚๐Ÿซต๐Ÿพ TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž

Uongozi wa โŒš๏ธ๐Ÿ’ฏ UNAENDELEA KUSHUGULIKA NA VIJANA MPAKA WAFE.

PRIMARY = Miaka 7

SECONDARY= Miaka 4

ADVANCE= Miaka 2 (DIPLOMA 3)

DEGREE= Miaka 3-4 

Unarudi Kusoma VETA = Miaka 2.

Umemaliza Degree ya CIVIL ENGENIEER unaenda kusomea KUSHONA NGUO.๐Ÿ˜‚๐Ÿซต๐Ÿพ

TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž