Shizoo d (@shizoodizzo) 's Twitter Profile
Shizoo d

@shizoodizzo

music

ID: 1296875374878629889

calendar_today21-08-2020 18:22:57

26 Tweet

22 Followers

113 Following

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana

Haji Manara (@hajimanara) 's Twitter Profile Photo

@SimbaSCTanzaniajumapili hii Disemba 5, atakuwa uwanja wa ugenini nchini Zambia kurudiana na Red Arrows ktk mechi ya kuwania kuingia hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika. Mechi hii utaishuhudia LIVE kupitia Azam TV ndani ya #AzamSports1HD kuanzia saa 10:00 jioni.

@SimbaSCTanzaniajumapili hii Disemba 5, atakuwa uwanja wa ugenini nchini Zambia kurudiana na Red Arrows ktk mechi ya kuwania kuingia hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika.
Mechi hii utaishuhudia LIVE kupitia <a href="/azamtvtz/">Azam TV</a> ndani ya #AzamSports1HD kuanzia saa 10:00 jioni.