Mpenda Haki (@shiteb88166) 's Twitter Profile
Mpenda Haki

@shiteb88166

ID: 1862504475572736000

calendar_today29-11-2024 14:31:26

2,2K Tweet

31 Followers

412 Following

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amesema mradi wa uwanja wa mpira wa Arusha ulikadiriwa kugharimu TZS bilioni 187, lakini ulisainiwa kwa TZS bilioni 338.54, sawa na ongezeko la asilimia 81.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

"Nimeshasema hawa viongozi HAWANA ECONOMIC FOCUS, kama wanayo waionyeshe". Father KITIMA anaendelea kupiga Panapouma. SIKILIZA SHULE KUTOKA KWA PHD KITIMA. REPOST 200