NEWALA finest ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@shirima90) 's Twitter Profile
NEWALA finest ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@shirima90

ID: 1831728448127062016

calendar_today05-09-2024 16:18:32

585 Tweet

287 Followers

388 Following

LYKER ๐ŸŒด (@paullyker) 's Twitter Profile Photo

Mimi Natafuta Mtu Wangu lakini ikitokea Mungu akanipa huyo wa kwako... Mimi ni Nani nibishane na Mungu. ๐Ÿคค๐Ÿ™๐Ÿผ

BROTHER (@0101dubu) 's Twitter Profile Photo

Huyo mwanamke uliyemkuta yupo single Hadi miaka 30, ipo siku atakufundisha somo gumu, Na hapo ndipo utagundua kwanini wanaume waliamua kumpuuza.. Hakuna bidhaa Bora inayopuuzwa.

Man Like Suleโ„ข (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Ukishajua kuna jamaa anamla demu wako, wewe ata usipaniki na usitake kumzingua jamaa.. Demu wako ndio tatizo, yeye ndio alimpa sababu jamaa za kumtongoza, Wewe achana naye, kuwa na amani na endelea na mishe zako, Usibebe maumivu ya mtu asiyeona thamani yako

Comrade Kicheche Jr (@kicheche_jr) 's Twitter Profile Photo

Mke anajua mume lazima awe na hela, mtoto anajua baba lazima awe na hela, baba anajua hana hela. Siku za furaha kwa mwanaume ni chache nazo zimejaa taabu.

Glatus (@gadikivike) 's Twitter Profile Photo

Kama lengo lako ni kutengeneza jina humu... Swala la kujipemdekeza sio la kukumbushwa... Hakikisha una like, comment na ku retweet kwa wenzio... ๐Ÿ‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Man Like Suleโ„ข (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke akishaanza tu zile za "Ungejua ni wanaume wangapi nawakataa kwasababu yako" Kaka, hapo sio. Jiondoe mapema kabla mambo hayajawa magumu mbeleni.