shedmoss (@shedmossking) 's Twitter Profile
shedmoss

@shedmossking

Shadmoss king

ID: 1389144261438939136

calendar_today03-05-2021 09:06:42

5,5K Tweet

562 Followers

1,1K Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Bwana Chalamila, Mimi nimehudumu kwenye kamati ya Nishati na madini ya bunge kwa miaka mitano. Najua utaratibu wa uagizaji wa mafuta kama ninavyojua kiganja cha mkono wangu. BPS imeundwa nikiwa mbunge nimeshiriki . Mnatakiwa kujibu maswali rahisi nyie watetezi mafisadi na

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Kuna umri ukifika utagundua Baba yako alikuwa sahihi karibia kwenye kila kitu na mengi uliyoambiwa kuhusu yeye ama kuhisi kuhusu Yeye hayakuwa sahihi, kuna umri ukifika unamwelewa Baba yako na unatamani umwombe radhi, Wanaume tunaelewa.