Mtu Makini🇹🇿 (@shakumpe) 's Twitter Profile
Mtu Makini🇹🇿

@shakumpe

Justice uplifts a Nation | I love my country |
A proponent of diplomacy| A father | A peace-seeker.

ID: 4118565563

linkhttp://mtumakini.co.tz calendar_today05-11-2015 10:07:32

1,1K Tweet

461 Takipçi

1,1K Takip Edilen

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Press ya GWAJIMA imenikumbusha Gwajima ninaemjua. Gwajima yule ambae hajawahi kupoteza PAMBANO. Ngoja niirudie tena mpaka usingizi unipitie.🫵🏾😂

Press ya GWAJIMA imenikumbusha Gwajima ninaemjua. Gwajima yule ambae hajawahi kupoteza PAMBANO. Ngoja niirudie tena mpaka usingizi unipitie.🫵🏾😂
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Bishop Bishop Josephat Gwajima PhD amezungumza vitu vya msingi sana leo. Amewaomba wastaafu wazungumze. Amesema anaomba kanisa la Ufufuo na Uzima lifunguliwe ndani ya siku 10. Amesema Tundu Lissu hastahili kuwepo gerezani. Amesema REFORMS za uchaguzi ni muhimu. Uchaguzi uwe huru. Watu washindane👏

Bishop Josephat Gwajima PhD (@jgwajima) 's Twitter Profile Photo

Tundu Antiphas Lissu ni hazina kubwa mno kwa Taifa la Tanzania. Fikra zake na Mawazo yake yangetumika vizuri, Taifa letu lingesogea mbele; Mchango wake kupitia Chama chake ukisikilizwa na wenye mamlaka, unaweza kabisa kulisaidia Taifa letu siku za usoni

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Bado siku 9 BISHOP GWAJIMA alihutubie Taifa. Jana Bishop alitoa ushauri kwa serikali ambao uligusa kila mpenda haki kwenye hili taifa. Press yake ipo youtube kwenye account yake “josephat Gwajima Rudisha TV”. Aliongea mengi ila kwa uchache sana haya ndio mambo makuu matatu

Bado siku 9 BISHOP GWAJIMA alihutubie Taifa.

Jana Bishop alitoa ushauri kwa serikali ambao uligusa kila mpenda haki kwenye hili taifa.  Press yake ipo youtube kwenye account yake “josephat Gwajima Rudisha TV”.

Aliongea mengi ila kwa uchache sana haya ndio mambo makuu matatu
Mtu Makini🇹🇿 (@shakumpe) 's Twitter Profile Photo

Kati ya nondo nyingi alizopiga gwajima jana, kipande hiki naona kimetrend sana, na ni kwasababu kina hoja nzito sana na ya msingi inayotugusa watanzania wote, lakini hasa hasa waumini wa haki. msikilize mwamba CLUB Magufuli (---) Onesmo Mushi Maria Sarungi Tsehai

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mahakamani pamechafuka sana Leo.. 😆 TAL ameambiwa ataje mashahidi wake kama anao. TAL amemtaja SSH, Mpango na Majaliwa katika orodha ya mashahidi wake. Hakimu Franco Kiswaga akasema hao mashahidi ataomba kibali Mahakama Kuu waingie kwa kuwa hawezi kuwaingiza katika commital.