
shadrack john msuya
@shadrackjohn
Musician/Band
Zouk Gospel singer
youtube.com/watch?v=kOc4t6…
ID: 353554796
http://www.salamafoundation.or.tz 12-08-2011 07:52:43
8,8K Tweet
3,3K Takipçi
3,3K Takip Edilen

Tukiwa na mama Beijing na mashujaa wetu, tumechagua kutokomeza ukatili wa kijinsia wa aina yoyote ile. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV@salamafound@genderlinks Amplify Change @voiceandchoicefund


Tukiwa na mama Beijing na mashujaa wetu, tumechagua kutokomeza ukatili wa kijinsia wa aina yoyote ile. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV Salama Foundation Gender Links AmplifyChange UNFPA UNITED! Movement Taarifa ni Maisha


Msafara wa kuhamasisha jamii kutokomeza #Ukatili umepita mkoa wa pwani na kuzungumza na wazazi,walimu,wanafunzi pamoja na vijana wengi namna nzuri ya kushirikiana na vyombo mbalimba ili kutokomeza kabisa ukatili #TokomezaUkatili #endgbv #16DaysOfActivism @genderlinks WiLDAF Tanzania



Hakuna maendeleo bila usawa. Tumia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kuhamasisha usawa, amani na upendo kwa wote. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV Salama Foundation







Mwananchi mwenzangu,hakuna maendeleo bila usawa. Tumia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kuhamasisha usawa, amani na upendo kwa wote. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV Salama Foundation



Ni muhimu kuendeleza mijadala inayopinga ukatili wa kijinsia kwa sababu inasaidia kuchagiza maendeleo endelevu kwa jamii zetu hasa kwa wanawake na watoto. #NoExcuse #TokomezaUkatili #EndGBV #16DaysofActivism Salama Foundation WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII Tanzania:16 Days of Activism Against GBV Campaign



Kwako Rais wangu kipenzi,Mhh Samia Suluhu .Pole na kazi.Ninakuomba kama utapata nafasi upitie makala yangu inayoangazia jinsi nchi yetu tunaweza kuanza kujifadhili kny program za afya hasa zinazohusu matumizi ya ARV.Ili kupunguza mzigo mkubwa wa wafadhili medium.com/@shadrackjohnm…

GL Special Advisor Colleen Lowe Morna opens the floor & breaks the ice in welcoming all the different grantees with their country's Women's Voice & Leadership Conference #GenderEqaulity #CSW69

shadrack john msuya from 🇹🇿 talks about writing an article called "Resilience in the Face of Change" to strengthen Tanzania HIV/Aids internal financing in wake of USAID cuts & global shift Women's Voice & Leadership Conference #VoiceAndChoice #GenderEqaulity


My article tittled "Resilience in the Face of Change" to strengthen Tanzania HIV/Aids internal financing in wake of USAID cuts & global shift featured in Women's Voice & Leadership Conference,South afric #VoiceAndChoice #GenderEqaulity

Was it a coincidence for Donald J. Trump to wear pope crown VS the recently announcement of the first American pope named LEO XIV😇🥰🥰🙏
