Shadrack Mtaita
@shadrack_mtaita
ID: 1657441789505044480
13-05-2023 17:45:43
41 Tweet
29 Takipçi
513 Takip Edilen
#HABARI Kufuatia maelekezo aliyoyatoa Rais Samia Suluhu ya kuitaka Wizara ya Mifugo ishirikiane na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kuwawezesha vijana kujiajiri imeanza kutekelezwa baada ya pande hizo mbili kusaini makubaliano ya ushirikiano kuinua sekta za mifugo na uvuvi.
TUELEWANE, SHIDA SIO UWEKEZAJI. 1: Shida ni MASHARTI ya Mikataba 2: Shida ni MIAKA ya Mikataba 3: Shida ni UMILIKI Mnaowapa Watanzania HATUJAWAI KUNUFAIKA Na Mikataba Mliyosaini Chama Cha Mapinduzi Ktk Miaka 60 Ya Utawala Wenu LOLIONDO tumefaidika nini zidi ya Kuuwa WAMASAI WETU? 🤷🏾♂️