Robson Seleph (@selephrobson) 's Twitter Profile
Robson Seleph

@selephrobson

ID: 1370613025040908291

calendar_today13-03-2021 05:50:04

16 Tweet

459 Followers

788 Following

Robson Seleph (@selephrobson) 's Twitter Profile Photo

Kila kukicha ni chanjo ya korona!!! Kwani kati ya huko ilikotengenezwa chanjo na hapa TZ wapi watu wamekufa zaidi kwa korona!!?

Robson Seleph (@selephrobson) 's Twitter Profile Photo

Kila kukicha kuhusu chanjo ya korona kunapamba moto...jaman wazungu hawa sio watu wazuri huko kwao ndo vifo vingi wanashindwa kuzuia kwao ety wanatusaidia sisi ambao hata barakoa hatuvai saiv

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia alikuwa Makamu Rais katika Serikali iliyofanya mauaji ya raia, iliyoteka nyara & kupoteza watu, iliyojeruhi & kutesa watu, iliyobambikiza watu kesi, iliyodhulumu mazao ya wakulima & fedha za wafanyabiashara. Huyu sio wa kuhubiria wahanga wa Serikali hiyo juu ya amani!

Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

🚨 Kipa Jeremiah Kisubi ameuandikia Barua Uongozi wa Simba akiomba kutolewa kwa Mkopo ili akapate nafasi ya kucheza ▪️TZ Prison inatajwa kuwa chaguo namba moja kwa Kisubi

🚨 Kipa Jeremiah Kisubi ameuandikia Barua Uongozi wa Simba akiomba kutolewa kwa Mkopo ili akapate nafasi ya kucheza

▪️TZ Prison inatajwa kuwa chaguo namba moja kwa Kisubi