Selcom Microfinance Bank (@selcom_mfb) 's Twitter Profile
Selcom Microfinance Bank

@selcom_mfb

Official page for Selcom Microfinance Bank Tanzania Ltd, a bank with a special focus on Microfinance. Call us 0659 074 000/0746 985 840

ID: 1652456198

linkhttp://www.smfb.co.tz calendar_today07-08-2013 08:53:36

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

14 Takip Edilen

Selcom Microfinance Bank (@selcom_mfb) 's Twitter Profile Photo

Tunapoelekea kusherekea miaka 16 ya kutoa huduma za kifedha hapa nchini Tanzania tunakiheshimu sana kizazi hiki. Hawa ni baadhi ya wafanyakazi ambao waliunda timu ya kwanza kuingia mtaani na kuitambulisha benki yetu wakati huo na mpaka sasa tupo kwa sababu walikubali kuanza.