
Ayoub Abdul Akida
@scotchakida
Politician|ACT Wazalendo
ID: 1677443875
17-08-2013 05:30:21
2,2K Tweet
3,3K Followers
4,4K Following

Naibu Waziri Kivuli wa Mambo Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ndugu Mkwera MT. amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kibiti lililoko Mkoa wa Pwani kwa tiketi ya ACTWazalendo. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia


Karibu sana ACTWazalendo Wakili Msomi Peter Madeleka. #TaifalaWote #MaslahiYaWote #OperesheniLindaDemokrasia


Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya ACTWazalendo, Ndugu Husna Sungura , amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Chamanzi. Wanachama wa ACT Wazalendo wanaendelea kujitokeza kuchukua fomu katika majimbo mbalimbali nchini. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia


Hodi hodi Same! Katibu Mkuu wa ACTWazalendo Ndugu Ado Shaibu atakuwa na ziara ya siku mbili katika Jimbo la Same Mashariki (tarehe 22-23 Mei 2025). #TaifaLaWote #MaslahiYaWote


Ni Leo Mei 24, 2025 KC Mstaafu, Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe atazungumza na waandishi wa habari. Wapi? Kakonko. Kuna nini huko? Usiache kutufuatilia. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia ACTWazalendo

KC Zitto MwamiRuyagwa Kabwe akizungumza wakati wa hafla ya kuwapokea wanachama na viongozi wapya 215 kutoka CHADEMA ambao wamejiunga na chama cha ACT Wazalendo katika jimbo jipya la Kakonko mkoani Kigoma, Mei 24, 2025. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia


Viongozi wa Kata 13, Wanachama zaidi ya 200 kutoka CHADEMA Jimbo la Kakonko wajiunga na ACTWazalendo, KC Mstaafu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe awapokea. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia


Leo Mei 27, 2025 — Mwenyekiti wa ACTWazalendo Taifa, Ndugu Othman Masoud Othman, amekutana na viongozi wa chama Mkoa wa Mara. Kikao hiki kimejadili mwenendo wa siasa nchini na mwelekeo wa chama kuelekea Uchaguzi Mkuu. Huu ni mwendelezo wa #OperesheniLindaDemokrasia. #MuhuniHasusiwi


Ni Leo Tarehe 31/05/2025 Ofisi za ACTWazalendo Saa 5:00 Asubuhi. #SioYaKukosa. #MuhuniHasusiwi


NTOBI AJIUNGA ACTWazalendo EMMANUEL NTOBI, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Tanzania Mkoa wa Shinyanga amehama Chama hicho na kujiunga na ACT Wazalendo. Ntobi amepokelewa leo tarehe 3 Juni 2025 na Katibu Mkuu wa Chama hicho Ndugu Ado Shaibu


Leo Juni 05, 2025 Viongozi Wakuu wa ACTWazalendo wataongea na vyombo vya habari. Muda: Kuanzia saa 5.00 asubuhi Eneo: Makao Makuu ya Chama, Magomeni, Dar es salaam. Waandishi wote mnakaribishwa. Abdallah Khamis, Afisa Habari, ACT Wazalendo. 4 Juni 2025.



Mapambano yetu ya #OperationLindaDemokrasia yamvuta Shèikh #IssaPonda katika chama Chetu ACTWazalendo


Kesho zamu ya nani? Majibu yatapatikana Makao Makuu ya Chama ACTWazalendo Magomeni kesho tarehe 9 Juni 2025 kuanzia saa 7.00 Mchana. Karibuni sana!!


KATIBU MWENEZI NCCR MAGEUZI AJIUNGA ACT WAZALENDO Katibu Mwenezi Taifa wa NCCR Mageuzi Ndugu Elisante Ngoma amekihama Chama hicho na kujiunga na ACTWazalendo . Elisante amepokelewa na KM wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu leo tarehe 9 Juni 2025 katika Ukumbi wa Juma Haji Duni .


#KaaTayari ....! Baada ya kujiunga na ACTWazalendo , kwa mara ya kwanza Mpambanaji Sheikh #PondaIssaPonda akiambatana na viongozi wakuu wa ACT Wazalendo atahutubia Taifa kupitia Mkutano wa hadhara wiki hii. Unadhani ataanzia Jimbo gani?


SHEIKH ISSA PONDA KUUNGURUMA DAR . Mwanachama wa ACTWazalendo ambaye pia ni Katibu wa Shura ya Maimamu Tz 🇹🇿 Sheikh #PondaIssaPonda akiambatana na viongozi wakuu wa ACT Wazalendo atafanya mkutano wa hadhara ktk viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar siku ya tarehe 14 Juni 2025.

