Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile
Small Business Elevator

@sb_ladder

Supporting small businesses with expert insights, practical resources, and growth strategies. Your partner in entrepreneurial success. #SmallBusinessMatters

ID: 1857671772767662080

calendar_today16-11-2024 06:28:00

878 Tweet

8,8K Takipçi

36 Takip Edilen

Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati akili inazunguka bila majibu. Usiumize kichwa—piga magoti, mwombe Mungu. Halafu rudi ulitafakari tena, utaona njia. Mimi jana nimemuona Mungu! Nilikuwa kwenye moto, lakini baada ya maombi moyo ukatulia, woga ukaondoka—nikawa tayari kupambana!