Sat Media (@sat_media_) 's Twitter Profile
Sat Media

@sat_media_

ID: 1858549389276397572

calendar_today18-11-2024 16:35:17

3,3K Tweet

61 Takipçi

0 Takip Edilen

Sat Media (@sat_media_) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 28 Agosti 2025 pale Tanganyika packers, Kawe, jijini Dar es Salaam, tutasimama pamoja kushuhudia ukurasa mpya wa Taifa letu ukiandikwa kwa KISHINDO CHA KIJANI. #kishindochakijani

Sat Media (@sat_media_) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Hassan Omari Kitenge kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.