Sangija Sangija (@sangija_alex) 's Twitter Profile
Sangija Sangija

@sangija_alex

ID: 2288163730

calendar_today17-01-2014 15:08:47

444 Tweet

244 Followers

1,1K Following

Sangija Sangija (@sangija_alex) 's Twitter Profile Photo

nikiku tobolea ukweli utashanga kweli tulivuna busara zake sio kwa kuimba sifa zake tulivuna busara zake kwa kuhoji vitendo vyake kwa kudadisi maono yake kwa kubishana naye mbele yake bila hofu tuliwambia wapambe wake tunahaki ya kuhoji hoja zake Kwa upendo alituita “wasomi wake

nikiku tobolea ukweli
utashanga kweli
tulivuna busara zake
sio kwa kuimba sifa zake
tulivuna busara zake
kwa kuhoji vitendo vyake
kwa kudadisi maono yake
kwa kubishana naye mbele yake
bila hofu tuliwambia wapambe wake
tunahaki ya kuhoji hoja zake
Kwa upendo alituita “wasomi wake
Sangija Sangija (@sangija_alex) 's Twitter Profile Photo

Gwaji boy, anatamani jumapili ifike mapema, maana faili la gwaji girl liko mezani kwake...mala paaaap gwaji boy anakamatwa jumapili asubuhi anashindwa kumchamba gwaji girl kanisani.

shabani kajala (@kajalashabani) 's Twitter Profile Photo

"MAISHA NI SAFARI,NA DUNIA NI MATEMBEZI KWA WANADAMU. MASKANI YAO YA MILELE YAKO PEPONI. HAPANA MTU AMBAYE ATABAKI DUNIANI!." HAYATI SHAABAN ROBERT,JANUARI,1950;TANGA TANGANYIKA TERRITORY!!... ## NAMWOMBA MUNGU AILAZE ROHO YA ALEX KASHASHA MAHALI PEMA PEPONI(FERDAUSI & JOHARI)AMN

"MAISHA NI SAFARI,NA DUNIA NI MATEMBEZI KWA WANADAMU. MASKANI YAO YA MILELE YAKO PEPONI. HAPANA MTU AMBAYE ATABAKI DUNIANI!." HAYATI SHAABAN ROBERT,JANUARI,1950;TANGA TANGANYIKA TERRITORY!!...
## NAMWOMBA MUNGU AILAZE ROHO YA ALEX KASHASHA MAHALI PEMA PEPONI(FERDAUSI & JOHARI)AMN
Sangija Sangija (@sangija_alex) 's Twitter Profile Photo

Mjenge mtoto wako, usijenge nyumba kwa ajili ya mtoto wako, Usipomjenga mtoto wako basi atauza nyumba uliyomjengea ili ajenge yake

Sangija Sangija (@sangija_alex) 's Twitter Profile Photo

#SeptemberToRemember 2017, nikiwa nimejilaza kitandani mida ya saa 7 mchana, nikiperuzi tweeter, ghafra nikakutana na taarifa za kushambiliwa Tundu Antiphas Lissu nilitoka chumbani haraka na kumpa Mama taarifa alikuwa akipika ugari, shock aliyoipata hakuendelea kupika akitafakari.

Nape Moses Nnauye (@nnauye_nape) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA TULIZONAZO HAKUNA WAUZA MAGAZETI WANAOFUKUZWA ISIPOKUWA KUNA KIJANA AMBAYE ALIKUWA ANAUZA MAGAZETI LAKINI ANAUZA NA VITU VINGINE KWENYE ENEO LISILORUHUSIWA.PAMOJA NA KUDAI HAKI VIZURI TUJENGE UTAMADUNI WA KUTII SHERIA BILA SHURUTI.TAALUMA ISIWE KICHAKA CHA KUTOTII SHERIA.