BAM TZ (@sanemhina90) 's Twitter Profile
BAM TZ

@sanemhina90

ID: 1835736269089087488

calendar_today16-09-2024 17:43:43

498 Tweet

33 Takipçi

436 Takip Edilen

Sia Da Vinci💎 (@siadevinci) 's Twitter Profile Photo

Dah ila wazungu na waarabu walituweza kwakweli. Yani wenyewe wako buzy kuweka kichwani Python, java, matlab, SQL, C++, Ruby, Object Pascal,kotlin etc, sisi huko tuko buzy kukariri Biblia na Quran.

Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga (@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Sometimes, the TRUTH is not the most important thing. If I have to choose between my country and the truth, I will pick my country. If I have to lie for my country, I will do so. Happily.

BAM TZ (@sanemhina90) 's Twitter Profile Photo

Hii Kesi ya Diddy, Iwafundishe vijana, msijiingize kwenye mahusiano na mwanamke ambaye alikua na mahusiano na mtu mda mrefu na alikua pale kisa pesa. Ukijiona mjanja, utakuja kusikia wana walikua wanamkojolea, na sasa hivi ni mke wako. 🤣

fridaamani EAGLE🦅…. (@fridaamani) 's Twitter Profile Photo

Niko finland na najifunza kuhusiana kodi zinavofanya kazi huku Kwanza wanalipa kiwango kikubwa sana cha kodi hadi asilimia 50 ya mapato yao Ila kizuri zaidi ni kwamba wanajua kodi zao zinaenda wapiii nazinafanya nini!… so wanajiita happy tax payers

Tiberius (@ecomarxi) 's Twitter Profile Photo

US citizens want the US to stop supporting Israel UK citizens want the UK to stop supporting Israel French citizens want France to stop supporting Israel When will these governments listen to their people?

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Recent wars around the world have shown me why Tanzania remains cautious about dual citizenship, multiculturalism, and relaxed immigration policies. Dual allegiance is dangerous to national security. Some people may live in your country but work for the interests of another.

Sean 🎖️ (@iboysean) 's Twitter Profile Photo

Join KodeUni as a Coding Instructor in Dodoma (2) or Arusha (2)! Teach kids 5-18 Blockly & Python. No teaching exp needed! Email [email protected] or WhatsApp 0745000555. #KodeUniJobs #KodeUni

Join KodeUni as a Coding Instructor in Dodoma (2) or Arusha (2)! Teach kids 5-18 Blockly & Python. No teaching exp needed! Email jobs@kodeuni.com or WhatsApp 0745000555. #KodeUniJobs #KodeUni
Mariam (@maryftaddoh) 's Twitter Profile Photo

If you’re talking about that street interview then, the problem wasn’t Diamond’s English. It was the interviewer’s accent, I’m sure 95% of people who aren’t American didn’t understand what the guy was saying. He is representing TANZANIA, y’all are worried about the wrong things.

BAM TZ (@sanemhina90) 's Twitter Profile Photo

Kwa watu ambao wanasema hawashiriki uchaguzi ujao, wapo busy sana kuPost kila siku. Nikama mwanamke aliyesema haji ghetto kwako, na bado yupo mtandaoni kuwaambia siendi kwake. Mmeamua kutoshikiri, poa. Wataoshiriki watawachagulia viongozi wenu wa miaka mitano ijayo