SAMUEL MUTETI
@samuelmusauh
information and science technology personality.... #LigiYaWashindi #TukutaneGalilaya #NuruNaEvahMwalili...God bless you!!! Mungu Kumbuka neema
ID: 2560800877
11-06-2014 07:09:35
4,4K Tweet
1,1K Takipçi
1,1K Takip Edilen
Ni kwa neema tu na rehema. Tbt ya Edson Mwasabwite Mama Taifa Evah Mwalili @Radio47KE #NuruNaEvahMwalili #NuruNaEvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili Edson Mwasabwite Smith Ni kwa neema tu na rehema. Machakos Tala kangundo tunaishi kwa neema ya Mungu Edson Mwasabwite Mama Taifa Evah Mwalili Smith #NuruNaEvahMwalili #NuruNaEvahMwalili
#Neno... MUNGU HATASAHAU KAZI YAKO NZURI. Waebrania 6:9-12.. Endelea kutenda mema, Mungu hawezi kuisahau kazi nzuri uliyofanya. Wengine wanaweza kosa kuona kazi yako ama wakaisahau, lakini Mungu si wa kusahau, may He reward you. SAMUEL MUTETI #EbenezerThursday Tukutane Galilaya!
#NenoLaLeo... USIKATE TAMAA 2 Wakorintho 4:7-9 Twataabika kila upande lakini hatuangamii, Twaona wasiwasi lakini hatukati tamaa. Twateswa lakini hatuachwi, Twatupwa chini lakini hatupondwi. Usikate tamaa kesho ya ni kubwa mno. SAMUEL MUTETI Mama Taifa Evah Mwalili #DeclarationTuesday
Mama Taifa Evah Mwalili Jimmy Johnson Smith Mighty man of war lion of Judah come and do wat u can only do. Very powerful mama taifa. Machakos Tala kangundo well represented 🙏🙏🙏#NuruNaEvahMwalili
#Neno... HUO UKAME UNAWEZA FIKA MWISHO! 1 Wafalme 18: 41-46... Mji Wa Samaria ulikua umekumbwa Na ukame mkali lakini tazama Mungu alivyowanyeshea mvua ya ajabu na ukame ukaisha! Inawezekana hali yako ya ukame ifike leo, Amina! Tukutane Galilaya! SAMUEL MUTETI #HimizoFriday
Wewe ni Mungu mpasua bahari haufananishwi na kitu kingine Boaz Danken SAMUEL MUTETI Mama Taifa Evah Mwalili #NuruNaEvahMwalili
#NenaLaLeo... SIO BURE KUTAFUTA MUNGU Isaya 45:18-19 Kuna faida tele ndani ya Mungu, hautamfuata bure (Zaburi 103). Nakutia moyo wiki hii, endelea kumtafuta Mungu, Kaa katika maagizo yake, soma neno lake likuongoze, si bure kumfuata! Mama Taifa Evah Mwalili SAMUEL MUTETI Tukutane Galilaya!