Samo Mgore (@samomgore63506) 's Twitter Profile
Samo Mgore

@samomgore63506

ID: 1748627383802843136

calendar_today20-01-2024 08:45:28

1,1K Tweet

146 Followers

712 Following

Samo Mgore (@samomgore63506) 's Twitter Profile Photo

Mpina watanzania hasa wapiga kura wako hatutaufanya ujinga wanao ufanya wakenya kuharibu mali zao wenyewe na kuuwa vijana wao et kudai haki tunakuhakikishia kwamba utakua mbunge wetu mpaka uwe kikongwe umeonewa umezibwa mdomo kututetea na Dunia imeona wewe ni jembe🙏

Kwanini chadema wakikamatwa na polisi kwakosa lolote wanasema wanaonewa na wanakubali na kuamini kwamba wamekamatwa kweli lakini chama kingine tofaut nawao akikamatwa mtu utaskia chadema wanasema hii nimichezo,maigizo uongo nk nikwanini??