Salekwa Jr. (@salekwaj) 's Twitter Profile
Salekwa Jr.

@salekwaj

A Spiritan Missionary Priest. Holds MTh, MEd. Devoted in Education and Pedagogy. Un apologetically Catholic!

ID: 1268785008640131073

calendar_today05-06-2020 06:02:05

218 Tweet

537 Followers

205 Following

Salekwa Jr. (@salekwaj) 's Twitter Profile Photo

Ukuu wa Sherehe hii ya Noeli ni Jinsi ambavyo Mtoto Yesu alivyozaliwa katika mazingira duni. Hii itusukume leo kuwatazama Maskini na wale waliosukumizwa pembezoni mwa jamii. Noeli hii ilete faraja, tumaini na amani katika familia zetu. Kwa kuwa Tumaini la kweli halidanganyi.