Sadiomaney (@sadiomaney) 's Twitter Profile
Sadiomaney

@sadiomaney

No justice No peace

ID: 1287289380529414144

calendar_today26-07-2020 07:36:31

3,3K Tweet

161 Takipçi

94 Takip Edilen

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo #MariaSpaces tunajadili: Kumbukizi - Wamaasai, akina Soka walitekwa, kesi ya Lissu - tunatokaje? Tarehe 18 Agosti ni siku yenye matukio mengi yaliyopita na sasa - tutaendelea hivi hadi lini? Je tumejifunza nini? Leo saa 2 uck

Leo #MariaSpaces tunajadili: Kumbukizi - Wamaasai, akina Soka walitekwa, kesi ya Lissu - tunatokaje? 
Tarehe 18 Agosti ni siku yenye matukio mengi yaliyopita na sasa - tutaendelea hivi hadi lini? Je tumejifunza nini?
Leo saa 2 uck
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Upumbavu mtupu 🚮 Shahidi wa siri: “Nikaeleza lifunguliwe kosa la uhaini kwasababu aliesema TUNDU lisuu hayo maneno yake, yeye ni Askari ambae ana cheti cha Kujenga taifa kutoka jeshi la JKT hivyo alikuwa na wajibu wa kulinda amani ndani ya Taifa letu. Kusema maneno kama hayo ni

Upumbavu mtupu 🚮
Shahidi wa siri: “Nikaeleza lifunguliwe kosa la uhaini kwasababu aliesema TUNDU lisuu hayo maneno yake, yeye ni Askari ambae ana cheti cha Kujenga taifa kutoka jeshi la JKT hivyo alikuwa na wajibu wa kulinda amani ndani ya Taifa letu. Kusema maneno kama hayo ni
Joseph Mbilinyi (@therealjongwe) 's Twitter Profile Photo

Sasa nimeelewa kwanini wamelazimisha hii kesi ya KUBUMBA iwe GIZANI… Wanajua aibu ambayo wangepata kwa Umma… NB: Ni VIHOJA Mahakamani! #NoReformsNoElection #FREELISSU

Ananilea Nkya (PhD) (@ananilean) 's Twitter Profile Photo

Askofu Bagonza asema"CCM inahitaji wapinzani halisi Media halisi, bunge halisi, ...mahakama halisi na wazalendo halisi ili kusafisha nchi. Dola isitengeneze wapinzani, isijigeuze wapinzani. Taifa linahitaji HAKI siyo HISANI.Anayekataa hili hatutakii mema"

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Yaani shahidi anatafsiri aliyoyasema Lissu na amejituma kwa akili zake aanze kufanya vurugu alafu mnamfungulia kesi ya uhaini Tundu Lissu? Nyie DPP mna akili kweli? 🙄 Wendawazimu huu ati! Hakimu anatakiwa ku dismiss this case immediately! Interepretation ya shahidi si ushahidi

Yaani shahidi anatafsiri aliyoyasema Lissu na amejituma kwa akili zake aanze kufanya vurugu alafu mnamfungulia kesi ya uhaini Tundu Lissu? 
Nyie DPP mna akili kweli? 🙄
Wendawazimu huu ati!
Hakimu anatakiwa ku dismiss this case immediately! Interepretation ya shahidi si ushahidi
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

“DEATH ROW DIARIES” – maelezo ya SC Tundu Antiphas Mughwai Lissu ambayo atayatoa katika committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu katika kesi ya UHAINI ambayo Tundu A.M Lissu anashtakiwa nayo tayari ipo mikononi.. Death Row Diaries ya Tundu Lissu ina

“DEATH ROW DIARIES” – maelezo ya SC Tundu Antiphas Mughwai Lissu ambayo atayatoa katika committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu katika kesi ya UHAINI ambayo Tundu A.M Lissu anashtakiwa nayo tayari ipo mikononi..

Death Row Diaries ya Tundu Lissu ina
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Shahidi wa Jamhuri MEJA wa JESHI anasema kwa kuwa Tundu Lissu alihudhuria mafunzo JKT basi yupo chini ya KIAPO kama askari wa akiba; Hivyo anakidhi vigezo vya kushtakiwa kwa uhaini. Kwamba, wote waliokwenda JKT kwa mujibu wanaishi chini ya kiapo cha Jeshi? Hii ni maajabu sana.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Mkapa alimshitaki Lissu mara ya kwanza 2002. Kikwete alimshitaki mara tatu. Magufuli alimshitaki kwa kesi sita, alikamatwa mara nane. Alichaguliwa Urais TLS akitokea kortini Kisutu. Samia amemkamata mara 3. Sasa amempa uhaini. Katika yote, hajawahi kutwa na hatia. FreeLissu

Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

#MahakamaKuu Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kama JKT wanamtambua TAL kama askari wa akiba kwa kuwa alipitia Mafinga JKT 1989 – kwanini hawakutoa taarifa na kuwatafuta waliompiga risasi askari wao 2017? hawakuona hasara ya kupoteza askari wao wa akiba? Lakini katika uhaini wa kutunga tu, ametumwa Meja kutoa ushahidi?

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mahakamani pamechafuka sana Leo.. 😆 TAL ameambiwa ataje mashahidi wake kama anao. TAL amemtaja SSH, Mpango na Majaliwa katika orodha ya mashahidi wake. Hakimu Franco Kiswaga akasema hao mashahidi ataomba kibali Mahakama Kuu waingie kwa kuwa hawezi kuwaingiza katika commital.

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Mimi ni muuza kahawa, nilipoona video ya Lissu na kuisikiliza nilihamasika kukinukisha, tuwarushie mawe watu mtaani 😂😂😂😂

Mimi ni muuza kahawa, nilipoona video ya Lissu na kuisikiliza nilihamasika kukinukisha, tuwarushie mawe watu mtaani 😂😂😂😂
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Amekuwa jela kwa siku 118. Lakini amejiandaa kufundisha sheria. Na kuonesha akili ndogo za serikali. Na kwamba yeye si mhalifu. Leo Hakimu na Mawakili wa dola wanalala na viatu. Huyu ndiye mwalimu wetu, kaka yetu, ndugu yetu, mwenyekiti wetu, SC Tundu AM Lissu.

Amekuwa jela kwa siku 118. Lakini amejiandaa kufundisha sheria. Na kuonesha akili ndogo za serikali. Na kwamba yeye si mhalifu. Leo Hakimu na Mawakili wa dola wanalala na viatu. Huyu ndiye mwalimu wetu, kaka yetu, ndugu yetu, mwenyekiti wetu, SC Tundu AM Lissu.