ARUFE (@rutta_adelinus) 's Twitter Profile
ARUFE

@rutta_adelinus

Shabiki wa Simba sports club ๐Ÿฆ ๐Ÿ’ช๐Ÿพ

ID: 890665570328354818

calendar_today27-07-2017 20:09:54

831 Tweet

476 Followers

748 Following

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume ukimudu kuwa na kiasi kunae mamna unakua umeshinda mambo mengi. Maisha ya starehe ni kama kuangalia au ku scroll video zinazochekesha, the more una scroll the more unaendelea kuvutiwa kuangalia inayofuata. But kuna muda unasema No inatosha kwa leo acha niishie hapa.

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Asubuhi na mapema kukumbushana kwamba. Hata Mapambano yawe magumu kiasi gani usijitenge na ndugu zako kwa wakati ambao upo hai na mzima. Maisha yetu kama wanadamu ni mafupi halafu yana mambo mengi sana, kuhitaji msaada wa ndugu na jamaa ni jambo la kawaida sana. On top of

MR. United (@vistovic17) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ AMRI KIEMBA ANATOA BOMU! โ€œWatu wengi siku hizi wanaangalia tu Assist na Goalsโ€ฆ Lakini mchezaji technical zaidi kwenye Ligi Kuu NBC kwa sasa? Kwangu Anicet Oura wa Simba SC ndiye number 1. Hakuna anayemzidi kiufundi! Fundi halisi wa mpira โ€” akili yake inacheza, sio miguu

๐Ÿšจ AMRI KIEMBA ANATOA BOMU!

โ€œWatu wengi siku hizi wanaangalia tu Assist na Goalsโ€ฆ  

Lakini mchezaji technical zaidi kwenye Ligi Kuu NBC kwa sasa?  Kwangu Anicet Oura wa Simba SC ndiye number 1. Hakuna anayemzidi kiufundi!  Fundi halisi wa mpira โ€” akili yake inacheza, sio miguu
MTANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@gilbertpaul095) 's Twitter Profile Photo

Kama WAZAZI wako wako HAI mpaka leo basi una BAHATI sanaa๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน Watumie hata Tsh 25000 wale vizuri leo UTABARIKIWA๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume ana njia 5 tu za kutoka kwenye msongo wa mawazo 1. MUNGU 2 โ€ข Pesa 3 โ€ข Mazoezi 4โ€ข Kusudi lake maishani 5 โ€ข Familia yenye upendo

Headboy wa mtaa (@sirajitz1) 's Twitter Profile Photo

Hivi kati ya 1. Passo 2. Vits 3. Mazda Verisa 4. Hundai 5. Mini cooper Gari gani nzuri ya kununua ya kuanzia maisha kwa mtu mwenye kipato cha chini?. Ongeza nyingine pia๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Ukipata Sangara Fresh, chukua kichwa, katia vitunguu vingi, hoho, karoti, then tia limao na mwendokasi. Piga hiyo supu. Nilikua sijui aisee ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ

Kante (@mkulimakante) 's Twitter Profile Photo

The way vitoto vya maboss huwa vinawanyanyasa madada za kazi na wazazi wao wanachekelea unagundua utumwa bado upo hapa Afrika. Hakuna adabu ni kuvunjiana heshima kila pahala,utumwa wa kifikra.