Rumisho Shikonyi (@rumishos) 's Twitter Profile
Rumisho Shikonyi

@rumishos

Hard working and determined

ID: 2611538693

calendar_today15-06-2014 14:30:08

81 Tweet

66 Takipçi

71 Takip Edilen

MobiAd (@mobiad_africa) 's Twitter Profile Photo

Do you have what it takes to be part of our team? Send your applications to [email protected] Lets go! #MobiAd #Sales #Hiring #Recruiting #Kazi #Ajira

Do you have what it takes to be part of our team?

Send your applications to info@mobiadafrica.com

Lets go!
#MobiAd #Sales #Hiring #Recruiting #Kazi #Ajira
MobiAd (@mobiad_africa) 's Twitter Profile Photo

We celebrate the 60 years of Independence by honoring our elders who speared the movement and working hard to maintain our Economic, Political and Cultural Independence. Happy Independence Tanzania🇹🇿 #Independence #Tanzania🇹🇿 #December

We celebrate the 60 years of Independence by honoring our elders who speared the movement and working hard to maintain our Economic, Political and Cultural Independence. Happy Independence Tanzania🇹🇿

#Independence #Tanzania🇹🇿 #December
MobiAd (@mobiad_africa) 's Twitter Profile Photo

CarolNdosi Tunawezesha mfanyabiashara au Kampuni kua na tangazo maalumu kwenye simu yako ya mkononi. Tangaza biashara kwa kila anayekupigia simu🙂 gharama ni nafuu sana. Tupigie 0768418418

<a href="/CarolNdosi/">CarolNdosi</a> Tunawezesha mfanyabiashara au Kampuni kua na tangazo maalumu kwenye simu yako ya mkononi. Tangaza biashara kwa kila anayekupigia simu🙂 gharama ni nafuu sana. Tupigie 0768418418
MobiAd (@mobiad_africa) 's Twitter Profile Photo

Own a company or a Business? You can spread awareness and grow your brand easily with MobiAd Caller tune advertising services. Wanna know more? Call/Whatsapp us on 0768418418 or email us on [email protected] #Business #Company #Brand #Marketing #Tigo #Vodacom #Daressalaam

MobiAd (@mobiad_africa) 's Twitter Profile Photo

Kazi ya Chawa ni kuhakikisha tajiri anakubalika kila kona. Naam nasi MobiAd tutahakikisha tunatoa taarifa njema za biashara yako kwa kila anayekupigia! Kumpaa CHAWA huyu ni rahisi sana. Piga 0768418418 kwa shilingi 15,000/= TU Mwezi mzima upate na TANGAZO BUREEE #Lestsgo

Kazi ya Chawa ni kuhakikisha tajiri anakubalika kila kona. Naam nasi MobiAd tutahakikisha tunatoa taarifa njema za biashara yako kwa kila anayekupigia!

Kumpaa CHAWA huyu ni rahisi sana. Piga  0768418418 kwa shilingi 15,000/= TU Mwezi mzima upate na TANGAZO BUREEE
#Lestsgo
Chapaa_tanzania (@chapaatanzania) 's Twitter Profile Photo

GOOOD NEWS! Chapaa is Here🔥 Chapaa ni application yaki-Tanzania inayokurahisishia kukusanya michango kwaajili ya shughuli mbali mbali kwa uwazi na usalama zaidi. Kama ni Harusi, Misiba, Events nakadhalika. Kusanya michango kwa ndugu, jamaa na marafiki kupitia Chapaa

Chapaa_tanzania (@chapaatanzania) 's Twitter Profile Photo

Application ya Chapaa inakuja kukupa urahisi na kukuondolea stress za kuwaza kuhusu namna sahihi ya kukusanya michango. Download application ya chapaa kupitia Appstore/Playstore. Chapaa, Pamoja tunafanikisha. #Chapaa #Together #Tech #Innovation #Tanzania

MobiAd (@mobiad_africa) 's Twitter Profile Photo

Rasmi Kampuni ya MobiAd Africa imetangazwa kua mdhamini mkuu ya Timu ya vijana ya Simba SC. "The Future is Now" kwa pamoja tukienda kuletamapinduzi chana kwenye soka hasa soka la vijana ili kukuza Soka na hata Uchumi wa Taifa letu.

Rasmi Kampuni ya MobiAd Africa imetangazwa kua mdhamini mkuu ya Timu ya vijana ya Simba SC.

"The Future is Now" kwa pamoja tukienda kuletamapinduzi chana kwenye soka hasa soka la vijana ili kukuza Soka na hata Uchumi wa Taifa letu.
MobiAd (@mobiad_africa) 's Twitter Profile Photo

Ameuwasha hajauwasha? Wangapi walipokea Message hii? Endelea kujiunga kwa shilingi 500 tu upate dokezo kama hizi, Za ndaaaani kabisa. Swipe kuona jinsi ya kujiunga. Hongera Simba Sports Club kwa ushindi muhimu. IMEWEZEKANA. #MobiAd #Caf #Soccer #Simba #WenyeNchi

Ameuwasha hajauwasha?

Wangapi walipokea Message hii? Endelea kujiunga kwa shilingi 500 tu upate dokezo kama hizi, Za ndaaaani kabisa.

Swipe kuona jinsi ya kujiunga.

Hongera <a href="/SimbaSCTanzania/">Simba Sports Club</a> kwa ushindi muhimu. IMEWEZEKANA. 
#MobiAd #Caf #Soccer #Simba #WenyeNchi
Chapaa_tanzania (@chapaatanzania) 's Twitter Profile Photo

Zile mambo za Kukumbushana michango kwa Messages ndefu zimefika kikomo. Kusanya michango kwa Kidigitali na Kijanja zaidi. Download Chapaa kupitia Appstore/Playstore ili uweze kukusanya michango kwa urahisi. #Chapaa #Application #Tanzania #Money #Events #Tech #PamojaTunafanikisha

Zile mambo za Kukumbushana michango kwa Messages ndefu zimefika kikomo.

Kusanya michango kwa Kidigitali na Kijanja zaidi.
Download Chapaa kupitia Appstore/Playstore ili uweze kukusanya michango kwa urahisi.
#Chapaa #Application #Tanzania #Money #Events #Tech #PamojaTunafanikisha
Chapaa_tanzania (@chapaatanzania) 's Twitter Profile Photo

Something to celebrate in the near future? Use Chapaa Application to let your people know about your occassion and collect money from them easy-pizzy. Download Chapaa from Appstore/Playstore #Chapaa #Application #Tanzania #Money #Collections #Party #Life #Celebrate

Something to celebrate in the near future?

Use Chapaa Application to let your people know about your occassion and collect money from them easy-pizzy.
Download Chapaa from Appstore/Playstore
#Chapaa #Application #Tanzania #Money #Collections #Party #Life #Celebrate
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

WanaSimba hatupoi wala hatuboi. Kama una biashara yako sasa unaweza kutangaza kwa njia ya urahisi zaidi kupitia MUITO wako wa simu. Tuma neno TANGAZO kwenda namba ya Whatsapp 0768418418 utahudumiwa mara moja! Huduma hii ni kwa ajili ya watumiaji wa mtandao wa Vodacom Pekee,

WanaSimba hatupoi wala hatuboi. Kama una biashara yako sasa unaweza kutangaza kwa njia ya urahisi zaidi kupitia MUITO wako wa simu.

Tuma neno TANGAZO kwenda namba ya Whatsapp 0768418418 utahudumiwa mara moja! Huduma hii ni kwa ajili ya watumiaji wa mtandao wa Vodacom Pekee,
MobiAd (@mobiad_africa) 's Twitter Profile Photo

10K followers and counting! 🎉🌟 Thank you for making MobiAd Africa your destination for inspiration, innovation, and impact. Together, we're rewriting the rules of advertising and leaving our mark on the digital landscape. #LetsGO #MobiAdAfrica #10KStrong #AdvertisingInnovation

10K followers and counting! 🎉🌟 Thank you for making MobiAd Africa your destination for inspiration, innovation, and impact. Together, we're rewriting the rules of advertising and leaving our mark on the digital landscape. 
#LetsGO #MobiAdAfrica #10KStrong #AdvertisingInnovation
MobiAd (@mobiad_africa) 's Twitter Profile Photo

Hivi kwanini hizi battery charger ziliitwa “Chaja ya Kobe?” 😃 Dondosha comment yako chini utuambie sababu ilikuwa ni nini Bila kusahau unaweza kutangaza biashara yako sasa kwa kutumia Muito wa simu kwenda kwa wale wote wanaokupigia kila siku Wasiliana nasi: 0768 418 418

Hivi kwanini hizi battery charger ziliitwa “Chaja ya Kobe?” 😃
Dondosha comment yako chini utuambie sababu ilikuwa ni nini

Bila kusahau unaweza kutangaza biashara yako sasa kwa kutumia Muito wa simu kwenda kwa wale wote wanaokupigia kila siku

Wasiliana nasi: 0768 418 418
MobiAd (@mobiad_africa) 's Twitter Profile Photo

Mikoba ya 𝐒𝐩𝐨𝐫𝐭𝐬 ilikuwa maarufu sana miaka ya 2000, leo katika kumbukizi tuambie ulimaliza shule ya msingi mwaka gani? Pia jiunge na MobiAd Caller tune, huduma inayokuwezesha kutangaza biashara kwa kutumia muito wa simu Kujiunga na huduma hii tupigie: 0768418418

Mikoba ya 𝐒𝐩𝐨𝐫𝐭𝐬 ilikuwa maarufu sana miaka ya 2000, leo katika kumbukizi tuambie ulimaliza shule ya msingi mwaka gani?

Pia jiunge na MobiAd Caller tune, huduma inayokuwezesha kutangaza biashara kwa kutumia muito wa simu

Kujiunga na huduma hii tupigie:
0768418418
MobiAd (@mobiad_africa) 's Twitter Profile Photo

Monday Challenge 🎭 Tuandikie maneno yote yaliyozungumzwa bila kukosea mwanzo mpaka mwisho kwenda WhatsApp namba 0750111555 ujishindie mwezi mmoja BUREE! kutangaza biashara yako kwa kutumia muito wa simu Vigezo • Uwe mtumiaji wa mtandao wa Vodacom MobiAd Let's GO !