RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile
RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO

@ruffo_tz

Raising Up Friendship Foundation (RUFFO) is an NGO based in Dar es Salaam, Tanzania focusing on Child Protection and Development.

ID: 893706391474626560

linkhttp://www.ruffo.or.tz calendar_today05-08-2017 05:33:02

156 Tweet

159 Followers

455 Following

RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile Photo

Tunamponge binti yetu @rebecca_stanley_muna ambaye ni mmoja wa mabinti kutok programu zetu za NINAKIPAJI na LIFE SKILLS na hatimaye kupata tuzo ya heshima kwenye mashindano ya @missdarzone na kushinda kipengele cha heshima cha MISS DAR ZONE BEAUTY WITH PROJECT ( BWAP) 2023

Mada ya leo kwenye SAUTI ZETU ni “ Vijana na ujasiriamali ”. Wewe ni kijana na umekuwa na changamoto ya upataji wa ajira ?Usikose kutazama kipindi cha SAUTI ZETU leo saa2:30 usiku kupitia TVE @tvetanzania .Marudio ni Alhamisi saa 5:30 Asubuhi na jumapili saa 11:30 jioni

RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile Photo

Tar 31/5 tutakuwepo shule ya sec. kerezange iliyopo kivule, kuwapatia taulo za kike ili kuwasaidia kipindi cha hedhi wawapo mashuleni pasipo kukosa masomo na kuongeza ufaulu wao. Changia taulo za kike kupitia lipa namba : MPESA 5447227 Raising Up Friendship Foundation

Tar 31/5 tutakuwepo shule ya sec. kerezange iliyopo kivule, kuwapatia taulo za kike ili kuwasaidia kipindi cha hedhi wawapo mashuleni pasipo kukosa masomo na kuongeza ufaulu wao.

Changia taulo za kike kupitia lipa namba : MPESA 5447227 Raising Up Friendship Foundation
RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile Photo

Usikose mjadala mzito na mashujaa wa kupinga vitendo vya ukatili wakiongelea uzoefu wa matukio ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto wanavyokumbana navyo leo Saa2:30 kwenye kipindi cha SAUTI ZETU channel ya @tvetanzania 🌐 Website : ruffo.or.tz

RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile Photo

Namna ya mzazi kumlinda mtoto dhidi ya ukatili 1️⃣ Kuwa na mawasiliano ya wazi na mtoto wako 2️⃣ Kuwa wa kwanza kutoa elimu dhidi ya vitendo vya ukatili 3️⃣ Kujenga mahusiano ya kuaminiana na mtoto wako 4️⃣ Kuweka mipaka kwa mwanao 5️⃣ Kupata nafasi ya kufanya kazi mbalimbali na mtoto

RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile Photo

Saikolojia " Ni vipi tunaweza kutumia mifumo iliyopo kumsaidia mtu mwenye changamoto ya afya ya saikolojia/ afya ya akili? " Endelea kupata taarifa na elimu za masuala ya saikolijia kila siku za jumatano saa 2:30 usiku kupitia kipindi cha SAUTI ZETU kinachoruka TVE @tvetanzania

RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile Photo

Muandikishe mtoto wako kwenye LIFE SKILLS - LIKIZO TIME inayoanza Tar 20/6/2023 hadi 13/7/2023 #TOPICS ; FINANCIAL LITERACY DECISION MAKING COMMUNICATION INTERNET SAFETY Jiandikishe hapa ruffo.or.tz/likizo-life-sk… - Link in Bio 🔗 Au Piga simu 0765670746

Muandikishe mtoto wako kwenye LIFE SKILLS - LIKIZO TIME  inayoanza Tar 20/6/2023 hadi 13/7/2023

#TOPICS ;
FINANCIAL LITERACY 
DECISION MAKING
COMMUNICATION
INTERNET SAFETY 
Jiandikishe hapa  ruffo.or.tz/likizo-life-sk… - Link in Bio 🔗
Au  Piga simu 0765670746
RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile Photo

Leo kwenye Saikolojia " Usione aibu kama una tatizo la afya ya akili " Je, unatatizo lolote la afya ya akili? wasiliana nasi kwa simu namba 0765670746 na upatiwe msaada wa tatizo la afya ya akili na saikolojia

RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile Photo

Dondo za malezi “Jinsi mzazi anavyotoa elimu ya awali kwa mtoto” 1️⃣ 👉 Uhamasishwaji wa elimu ya awali kwa mtoto 2️⃣ 👉 Mtoto aanze elimu ya awali mapema 3️⃣ 👉 Kusoma au kupiga hadithi na mtoto mara kwa mara 4️⃣ 👉 Vizuri kujenga mahusiano mazuri na mtoto akiwa kwenye unri mdogo

RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile Photo

Leo ni siku ya idadi ya watu duniani, Ili Kuongeza nguvu ya usawa wa kijinsia huanza na kuinua sauti za wanawake na wasichana, hata kutoka udogoni! Tukijenga misingi imara mapema, tunawawezesha watoto kuchukua hatamu ya kufungua uwezekano usio na kikomo. #WorldPopulationDay2023

Leo ni siku ya idadi ya watu duniani, Ili Kuongeza nguvu ya usawa wa kijinsia huanza na kuinua sauti za wanawake na wasichana, hata kutoka udogoni! Tukijenga misingi imara mapema, tunawawezesha watoto kuchukua hatamu ya kufungua uwezekano usio na kikomo.

#WorldPopulationDay2023
RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile Photo

Kuvunja Ukimya : Kuwawezesha Wanawake kupitia Uhamasishaji kuhusu Hedhi (Breaking the Taboo: Empowering Women through Menstruation Awareness) Ni wakati wa kuvunja unyanyapaa, kuelimishana, na kuwawezesha wanawake na tuadhimishe nguvu, uimara, na uzuri ambao hedhi inawakilisha.

Kuvunja Ukimya : Kuwawezesha Wanawake kupitia Uhamasishaji kuhusu Hedhi (Breaking the Taboo: Empowering Women through Menstruation Awareness)

Ni wakati wa kuvunja unyanyapaa, kuelimishana, na kuwawezesha wanawake na tuadhimishe nguvu, uimara, na uzuri ambao hedhi inawakilisha.
RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile Photo

Kuinua Furaha ya Mtoto ni Kukuza Maendeleo ya Mapema ya Utotoni kwa Mtoto Mwenye Furaha, Chini ya Upendo wa Wazazi na Walezi! 💛✨ 🌐 Website : ruffo.or.tz 📍Office : Mikocheni 📩 Email : [email protected] ☎️ Tel : +255 765 670 746

Kuinua Furaha ya Mtoto ni Kukuza Maendeleo ya Mapema ya Utotoni kwa Mtoto Mwenye Furaha, Chini ya Upendo wa Wazazi na Walezi! 💛✨

🌐 Website : ruffo.or.tz
📍Office : Mikocheni
📩 Email : info@ruffo.or.tz
☎️ Tel : +255 765 670 746
Every Woman Treaty (@womantreaty) 's Twitter Profile Photo

Preparations r ready! Meet us tomorrow, the 19th, at 7 am at Sheraton #Kigali to discuss the importance of a global instrument to end #VAWG #EWT #WD2023 Women Deliver Youth Deliver you will reflect with coalition members fr #Kenya #Senegal #Cameroun #Lebanon our team is eager!

Preparations r ready! Meet us tomorrow, the 19th, at 7 am at Sheraton #Kigali to discuss the importance of a global instrument to end #VAWG #EWT #WD2023 <a href="/WomenDeliver/">Women Deliver</a> <a href="/YouthDeliver/">Youth Deliver</a>  you will reflect with coalition members fr #Kenya #Senegal #Cameroun #Lebanon our team is eager!
RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile Photo

Katika maisha ya kila siku, imeonekana kuwa Familia imekuwa ni chanzo cha watu kuwa na matatizo ya afya ya akili na kupelekea vijana wengi kukosa sehemu ya kusemea mambo yao. Mada hii sio ya kukosa leo saa 2:30 usiku kwenye SAUTI ZETU kupitia chaneli ya @tvetanzania

RUFFOᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠRUFFO (@ruffo_tz) 's Twitter Profile Photo

Swali kutoka kwa msikilizaji na mtazamaji wetu wa kipindi cha SAUTI ZETU kilichoruka hewani wiki jana akisema " Je, ni vizuri kutumia vidonge vya majira na je, vinatumikaje " Usikose Jumatano hii saa 2:30 Usiku kupitia TVE @tvetanzania

Swali kutoka kwa msikilizaji na mtazamaji wetu wa kipindi cha SAUTI ZETU kilichoruka hewani wiki jana akisema " Je, ni vizuri kutumia vidonge vya majira na je, vinatumikaje "

Usikose Jumatano hii saa 2:30 Usiku kupitia TVE @tvetanzania