#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile
#NIPENI_MAUA_YANGU💐

@roma_mkatoliki

Rapper/Songwriter/Activist🎤

ID: 586580157

linkhttps://youtube.com/@vivaroma?si=MBso8JdbTzK0lrho calendar_today21-05-2012 12:19:43

20,20K Tweet

1,3M Followers

158 Following

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Kuna vitu vimedumaza sana muziki wetu wa RAP/HIPHOP. Unajua mfano huku kwa wenzetu waimbaji huku, ushirikiano wao ni mkubwa sana. Kwa waimbaji utakutana na stories kama Utakuta wimbo ulikuwa wa Barnaba akampa Mwasiti na ukamtoa. Wimbo kaandika Ditto lakini kampa Lina na