Jinassa (@rjinassa) 's Twitter Profile
Jinassa

@rjinassa

Entrepreneur,Future billionaire,agri dealer and Inspirer.Tourguide by professional.

ID: 2511264828

calendar_today20-05-2014 19:42:14

379 Tweet

392 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

MAANDAMANO YA #D25 MADAI YETU NI-; 1. Uchaguzi ufutwe 2. Miili ya ndugu zetu irudishwe. 3. Ndugu zetu waliotekwa warudishwe. 4. Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi. 5. Mauaji na Utekaji vikomeshwe. 6. Waliouwa ndugu zetu Oktoba 29 wawajibishwe.

Mercides  (@caltexjr1) 's Twitter Profile Photo

“Walio uwawa tarehe 29 ni wengi kuliko waliouwawa kwenye vita ya Kagera ( Tanzania vs uganda ) Ukweli humuweka Mtu wazi Repost 670

“Walio uwawa tarehe 29 ni wengi kuliko waliouwawa kwenye vita ya Kagera ( Tanzania vs uganda )

Ukweli humuweka Mtu wazi

Repost 670
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

HAWA NDUGU ZETU WANAHITAJI MSAADA WETU ILI WAWEZE KUPATA MATIBABU. Hawa mnaowaona hapa ni Watanzania wenzetu ambao wamepata madhira mbalimbali. Picha ya Kwanza anaitwa Kuringe Sawere huyu alitekwa na Maofisa wa Polisi Disemba 4, 2025 baada ya wiki mbili kupita kuna msamalia

HAWA NDUGU ZETU WANAHITAJI MSAADA WETU ILI WAWEZE KUPATA MATIBABU.

Hawa mnaowaona hapa ni Watanzania wenzetu ambao wamepata madhira mbalimbali.

Picha ya Kwanza anaitwa Kuringe Sawere huyu alitekwa na Maofisa wa Polisi Disemba 4, 2025 baada ya wiki mbili kupita kuna msamalia
Ms_Frida💎 (@famworld2025) 's Twitter Profile Photo

Tunaompenda na kumuelewa Mwl. Christopher Mwakasege ameanza semina leo Arusha kwa tv yupo Upendo tv chanel 388 kwa DSTV, mbarikiwe sana💒🙏

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 189 Wakili wa Serikali anaendelea kumuongoza shahidi wa kificho P4 Wakili: Nini kingine? Shahidi wa kificho P4 : Tulivyoenda kuripoti Tarehe 17/04 tuliambiwa tusubiri tuandikwe maelezo, nikaandikwa hayo maelezo. Wakili: Unamfahamuje huyo Tundu

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 191 Jaji Ndunguru anawaita upande wa Serikali kwa ajili ya Re-Examination Wakili wa Serikali anasema hawatakuwa na maswali. Jaji Ndunguru : Shahidi sasa uende tumemalizana. Shahidi anasepa. Renatus Mkude: Tunae shahidi P7 tunaomba yeye

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Akaunti ya X (Twitter) ya Chadema iliyokuwa ikijulikana kama ChademaTz. Akaunti hii, ambayo kwa muda mrefu imekuwa chombo muhimu cha mawasiliano na taarifa za Chama, imechukuliwa na kuuzwa kinyume na taratibu na maadili ya Chama. Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa aliyekuwa

Akaunti ya X (Twitter) ya Chadema iliyokuwa ikijulikana kama ChademaTz. Akaunti hii, ambayo kwa muda mrefu imekuwa chombo muhimu cha mawasiliano na taarifa za Chama, imechukuliwa na kuuzwa kinyume na taratibu na maadili ya Chama. 

Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa aliyekuwa
Mercides  (@caltexjr1) 's Twitter Profile Photo

Acheni kujipa umuhimu kwenye kila jambo Mshaharibu kwa kuwachangia MA CCM hela za wanachama wakazitumia kuuwa wanaanchi kwa risasi Ukubwa wenu kwenye mitandao umekwisha kabisa na kamwe wananchi hatuwezi kusahau usaliti wenu Repost 200

Acheni kujipa umuhimu kwenye kila jambo 

Mshaharibu kwa kuwachangia MA CCM hela za wanachama wakazitumia kuuwa wanaanchi kwa risasi

Ukubwa wenu kwenye mitandao umekwisha kabisa na kamwe wananchi hatuwezi kusahau usaliti wenu 

Repost 200
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria. Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28. Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko

AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria. 

Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28. 

Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko