Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile
Restless Development Tanzania

@restlessdevtanz

📢 Sauti Ya Vijana

ID: 1427578437519171615

linkhttps://restlessdevelopment.org/tanzania calendar_today17-08-2021 10:30:09

670 Tweet

292 Takipçi

197 Takip Edilen

Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

Kundi kubwa la vijana na wanawake kwenye michakato ya maamuzi ni muhimu sana. Kwenye #WikiyayaAzaki2025 tumeshiriki mjadala juu ya ushiriki wa vijana na wanawake katika vyombo za maamuzina kufikia maazimio  ya kuhakikisha makundi hayo yanashiriki kikamilifu katika michakato hiyo.