Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile
Restless Development Tanzania

@restlessdevtanz

📢 Sauti Ya Vijana

ID: 1427578437519171615

linkhttps://restlessdevelopment.org/tanzania calendar_today17-08-2021 10:30:09

670 Tweet

292 Followers

197 Following

Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

Kesho tupo katika viwanja vya shule ya msingi Bereko kuanzia saa 2 asubuhi kutoa elimu na kuzungumza kuhusu mila kandamizi zikiwamo ndoa za utotoni, ukeketaji na ukosefu wa nafasi za uongozi na maamuzi ambazo kwa miaka mingu zimekua zikififisha mafanikio, ustawi wa wanawake

Leo ni siku ya Wanawake Duniani.Tunawasherehekea wanawake na waschana wote wenye ujasiri! Uthubu! Wapambanaji na wenye kuwekeza kwenye kujiendeleza na kupigania haki na usawa kwa manufaa yao, jamii zao na taifa kwa ujumla. Heri ya Siku ya Wanawake 2025

Leo ni siku ya Wanawake Duniani.Tunawasherehekea wanawake  na waschana  wote wenye ujasiri! Uthubu! Wapambanaji na wenye kuwekeza kwenye kujiendeleza na kupigania haki na usawa kwa manufaa yao, jamii zao na taifa kwa ujumla. 

Heri ya Siku ya Wanawake 2025
Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

As we gear up for the 2025 General Election in Tanzania, young people’s voices matter more than ever. 🗳️💥 Join our powerful webinar where the young voter’s educators will share their firsthand experiences in the entire exercise meet.google.com/tel/iub-vguv-h…

As we gear up for the 2025 General Election in Tanzania, young people’s voices matter more than ever. 🗳️💥 Join our powerful webinar where the young voter’s educators will share their firsthand experiences in the entire exercise 

meet.google.com/tel/iub-vguv-h…
Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

Mradi wetu wa #KIJANAWAJIBIKA mkoani Dar es salaam unaendelea kuleta matokeo makubwa kwa vijana na asasi za kiraia zinazosimamiwa na kuendeshwa na vijana. Mradi huu una shabaha ya  kuimarisha Utawala bora na uwajibikaji ambazo ni nguzo muhimu katika kujenga jamii imara

Mradi wetu wa #KIJANAWAJIBIKA mkoani Dar es salaam unaendelea kuleta matokeo makubwa kwa vijana na asasi za kiraia zinazosimamiwa na kuendeshwa na vijana.
Mradi huu una shabaha ya  kuimarisha Utawala bora na uwajibikaji ambazo ni nguzo muhimu katika kujenga jamii imara
Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

With support from @unfpatanzania 150 first-time young mothers in Chamwino DC are gaining the tools and knowledge to thrive with training in: 💡 Mindset Transformation 💪 Life Skills 👶 Family Planning ✋ Ending GBV 🧠 Mental Health Awareness 🚀 Entrepreneurship 👩‍💼 Leadership

With support from @unfpatanzania 150 first-time young mothers in Chamwino DC are gaining the tools and knowledge to thrive with training in:

💡 Mindset Transformation
💪 Life Skills
👶 Family Planning
✋ Ending GBV
🧠 Mental Health Awareness
🚀 Entrepreneurship
👩‍💼 Leadership
Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

Tunawatakia Watanzania wote heri ya Sikukuu ya Eid al-fitr. Tutumie siku hii kudumisha upendo, amani na mshikamano miongoni mwetu. #EidMubarak

Tunawatakia Watanzania wote heri ya Sikukuu ya Eid al-fitr. Tutumie siku hii kudumisha upendo, amani na mshikamano miongoni mwetu. 

#EidMubarak
Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

Our Annual Report is live! In 2023/2024, we empowered 92,400 young people across Tanzania through 6 impactful programmes, collaborating with 12 partners to drive youth-led change. Read how we’re shifting power and shaping the future. restlessdevelopment.org/2025/04/unleas…

Our Annual Report is live! In 2023/2024, we empowered 92,400 young people across Tanzania through 6 impactful programmes, collaborating with 12 partners to drive youth-led change. Read how we’re shifting power and shaping the future. 

restlessdevelopment.org/2025/04/unleas…
Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

Can a scroll lead to a vote? Join Elections & TikTok — online event exploring how TikTok, Instagram & X are driving youth voter participation ahead of the 2025 elections. 📅 23 & 24 April | 🕒 3PM–5PM #YouthVote2025 #TanzaniaVotes #SwissEmbassy meet.google.com/wgt-gkvr-sxq

Can a scroll lead to a vote? Join Elections & TikTok — online event exploring how TikTok, Instagram & X are driving youth voter participation ahead of the 2025 elections.
📅 23 & 24 April | 🕒 3PM–5PM
#YouthVote2025 #TanzaniaVotes #SwissEmbassy

meet.google.com/wgt-gkvr-sxq
Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

Today we celebrated #GirlsInICT with Julius Mpagama and RUCU Tech Club, training 20 girls at Startech Iringa on ICT for development, mental health, and cybersecurity. Girls belong in #STEM and the digital future! 💻🌍💪🏾 #ICT4D #DigitalInclusion

Tunawatakia wafanyakazi wote maadhimisho mema ya siku ya wanafanyakazi duniani. Tusherehekee kwa pamoja mchango wa wafanyakazi wote katika Maendeleo ya taifa. #sikuyawafanyakazi #meimosi #mayday #labourday #internationalwprkersday #wearerestless #youthpower

Tunawatakia wafanyakazi wote maadhimisho mema ya siku ya wanafanyakazi duniani. Tusherehekee kwa pamoja mchango wa wafanyakazi wote katika Maendeleo ya taifa.

#sikuyawafanyakazi #meimosi #mayday #labourday #internationalwprkersday #wearerestless #youthpower
Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

Hope unpacks how Tanzanian youth are turning TikTok & Twitter into digital town halls—using memes, reels & hashtags to drive civic action. With 29M+ online, social media is the new Parliament. Ready to turn your screen into a tool for change? 🗳️✨ wearerestless.org/2025/05/02/the…

Hope unpacks how Tanzanian youth are turning TikTok & Twitter into digital town halls—using memes, reels & hashtags to drive civic action. With 29M+ online, social media is the new Parliament. Ready to turn your screen into a tool for change? 🗳️✨ 

wearerestless.org/2025/05/02/the…
Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

Lead the change! Restless Development Tanzania is hiring a Hub Director! Shape youth development, build partnerships, and make a real impact from Dar es Salaam restlessdevelopment.bamboohr.com/careers/181

Lead the change! Restless Development Tanzania is hiring a Hub Director! Shape youth development, build partnerships, and make a real impact from Dar es Salaam

restlessdevelopment.bamboohr.com/careers/181

🔥 Countdown to #CSOWeek2025! 📍June 2 | 12:30–1:30PM | Main Hall - Mount Meru Hotel Arusha. Join ActionAid, TBI & Restless Development for: "Agenda 2030 in Action: Youth, Women & PWDs Leading the Change" — a bold dialogue on civic inclusion, barriers & building the 2025–2030.

🔥 Countdown to #CSOWeek2025!
 📍June 2 | 12:30–1:30PM | Main Hall - Mount Meru Hotel Arusha.
 Join ActionAid, TBI & Restless Development for:
 "Agenda 2030 in Action: Youth, Women & PWDs Leading the Change" — a bold dialogue on civic inclusion, barriers & building the 2025–2030.
Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

Wadau wa maendeleo tuna nafasi ya kuhakikisha vijana wetu wanapata fursa na elimu kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii zao na kutimiza malengo yao. #MpeNafasiKijana #UNFPATanzania #SwissEmbassyTz #KijanaAchaAlama

Wadau wa maendeleo tuna nafasi ya kuhakikisha vijana wetu wanapata fursa na elimu kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii zao na kutimiza malengo yao.

#MpeNafasiKijana
#UNFPATanzania
#SwissEmbassyTz
#KijanaAchaAlama
Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

Mabadiliko yanaanza na sisi kwa kumpa nafasi kijana kushiriki kikamilifu kuwa kiongozi wa leo na kesho katika kuhakikisha kila ndoto ya kijana inalindwa . #MpeNafasiKijana #UNFPATanzania #SwissEmbassyTz #KijanaAchaAlama

Mabadiliko yanaanza na sisi kwa kumpa nafasi kijana kushiriki kikamilifu kuwa kiongozi wa leo na kesho katika kuhakikisha kila ndoto ya kijana inalindwa .

#MpeNafasiKijana
#UNFPATanzania
#SwissEmbassyTz
#KijanaAchaAlama
Restless Development Tanzania (@restlessdevtanz) 's Twitter Profile Photo

Kundi kubwa la vijana na wanawake kwenye michakato ya maamuzi ni muhimu sana. Kwenye #WikiyayaAzaki2025 tumeshiriki mjadala juu ya ushiriki wa vijana na wanawake katika vyombo za maamuzina kufikia maazimio  ya kuhakikisha makundi hayo yanashiriki kikamilifu katika michakato hiyo.

This campaign aims to empower young people across the globe to demand for digital human rights and advocate for equitable digital futures. It’s time to put power back in your hands and #MakeITSafe. Join the movement now!! lnkd.in/ga6nTV8e

This campaign aims to empower young people across the globe to demand for digital human rights and advocate for equitable digital futures. It’s time to put power back in your hands and #MakeITSafe. 

Join the movement now!!
lnkd.in/ga6nTV8e