~Yule_Child~Minnoelly_Jr (@rennoelyjr) 's Twitter Profile
~Yule_Child~Minnoelly_Jr

@rennoelyjr

#Sina_Jambo
#Time_Will_Tell
#Acha_Tuone_Mkubwa_MUNGU

ID: 1247615155661344768

calendar_today07-04-2020 20:00:17

9,9K Tweet

1,1K Followers

4,4K Following

Man Like Sule™ (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Kuna ambao ni wapenzi wetu kwasababu wanalipa visasi kwa ex zao. Kuna ambao ni rafiki zetu kwasababu tuna adui mmoja tunayemchukia.. Kuna tunaoheshimiana nao kwasababu tu ya kutunziana Siri.. Sababu mbaya inaweza kulinda mahusiano mazuri..✍️

M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Tafuta mambo yakufanya, Kichwa chako kijae changamoto za maisha kila muda uwe na maswali ya kutafutia majibu. Baada ya hapo huwezi kupata nafasi kuteswa na masuala ya Mapenzi.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Dear wafalme, Kamwe usionekane umevurugwa na maisha, Kuwa mtulivu hapa unapopitia nyakati ngumu, Elewa kuwa ni wakati wako wa kuteseka, Kama walivyoteseka wafalme wakuu kabla yako.

🕷️ (@444holywitch) 's Twitter Profile Photo

Tunakufa tukiwa na miaka 25 na kuzikwa tukiwa na miaka 70. Inauma kusikia, lakini ndiyo ukweli wa watu wengi. Miili inaendelea kuishi, lakini ndani kuna kitu kilishakufa zamani. Ndoto zilikufa. Hamasa ilipotea. Ujasiri ukaisha. THREAD 🧵

MAN IN 30's (@businessintz) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume hodari ni yule anayejua kupima gharama halisi ya maamuzi yake mabovu , sababu blanda moja ya maamuzi yako mabaya inaweza kukugharimu miaka 20 ya bidii yako yote 🤔 .

Man Like Sule™ (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Najua kaka uko kwenye hatua nzuri sana ya mazungumzo na huyo binti.. Ila siku si nyingi atakuonyesha kwanini ulimkuta akiwa Single..

Nathan Paul S (@fikra_pevu) 's Twitter Profile Photo

Kwako hana nauli ya kujia ila kuna msela anayo na yakurudia. Kwako hana muda kuna msela anaulizwa we sema ntakuja mda wowote. Kwako anaugua hawezi kufua ila kuna mwana anapikiwa na kufuliwa. Mkisema siasa mchezo mchafu msipo weka na mapenzii kwenye list mimi nitoeni NYOKWE.

Nathan Paul S (@fikra_pevu) 's Twitter Profile Photo

Unaweza kufanikiwa kumsaliti na kumuuza nduguyo,.. Lakini ambacho huwezi kufanikiwa ni kuwashawishi wanunuzi waendelee kukuamini mara baada ya biashara kufanyika.

🕷️ (@444holywitch) 's Twitter Profile Photo

Hayo hayo maisha yako uliyoyakatia tamaa kuma watu zaidi ya mamilioni ingekuwa wanaweza kubadilishana maisha wangeomba atleast wangekuwa na maisha kama yako.

NAJITAFUTA (@najitafuta) 's Twitter Profile Photo

Ukiona kimya chao kimekatizwa na shida zao , usidhani wanakutafuta sababu wamekumiss hapana ila wanataka wakutumie kutatua matatizo yao 📌 .

M.a.n.a.n.a 🗽 (@mananajr_) 's Twitter Profile Photo

Kwenye usafiri ukiwa umekaa karibu na manzi alafu utoe 10k, lazima useme "mmoja" alafu uangalie nje maana makonda wanajitoaga akili sana.