Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile
Dr Reginald Mengi

@regmengi

Account of the late Executive Chairman-IPP LIMITED. Entrepreneur and philanthropist.

ID: 454166844

linkhttp://reginaldmengi.com/ calendar_today03-01-2012 18:03:32

2,2K Tweet

1,9M Takipçi

13 Takip Edilen

Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile Photo

“Mtoto Ibrahim Joseph mwenye umri wa miezi 4 amefariki dunia baada ya kung’atwa na panya mara tatu katika mguu wake wa kushoto akiwa amelala usiku na mama yake mzazi, Veronica Haule.” Nipashe Januari 24, 2019.

Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile Photo

“Sekta ya uma na sekta binafsi ni mapacha” Mheshimiwa Angella Kariuki, akizungumza na uongozi wa TPSF. Hongera sana waziri kwa kuelimisha Watanzania.

Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile Photo

“Mtu anayekuchukia hata akikukuta unacheza ndani ya maji,atasema unamtimulia vumbi” Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli.

Dr John Magufuli (@magufulijp) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha kijana wangu Ruge Mutahaba. Daima nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa ktk tasnia ya habari, burudani, na juhudi za kujenga fikra za maendeleo kwa vijana. Poleni wanafamilia,ndugu,jamaa na marafiki. Mungu amweke mahali pema, Amina.

Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile Photo

RIP Ruge Mutahaba. When you are happily settled in our Lords home, don’t forget your profession. I know and believe you are sufficiently innovative and I am sure you will find a way to communicate with us. Poleni sana familia ya Ruge Mutahaba , wanahabari na watanzania wote.

Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile Photo

RIP Ruge Mutahaba. The Media fraternity is shocked by the very sad news of your untimely departure. You leave behind a huge gap which we shall find very difficult to fill. You were truly a gentleman and pioneer in many aspects of the media. Farewell our Brother.

Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile Photo

Habari njema: Mtu aliyekuwa ameambukizwa UKIMWI amegunduliwa kuwa hana tena virusi hivyo baada ya kupandikizwa vinasaba ( stem cells ).BBC News (UK)

Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile Photo

RIP Kibonde. Kuondoka kwako ni pigo lingine kubwa kwa tasnia ya habari na wa Tanzania kwa ujumla. Poleni sana familia ya Kibonde, Poleni sana Clouds. Nitakukumbuka kwa ucheshi wako kwenye kipindi cha Jahazi.

Jacqueline N Mengi (@jntuyabaliwe) 's Twitter Profile Photo

I think it’s about time that airplane manufacturers spend more resources and technology in making air travel safer. Especially during accidents, focusing on individual safety features like what what car manufacturers have done with airbags.

I think it’s about time that airplane manufacturers spend more resources and technology in making air travel safer. Especially  during accidents, focusing on individual safety features like what what car manufacturers have done with airbags.
Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile Photo

JNMengi,my sweetheart, I love you more than the sand in all the seas in the whole world. God willing will see you tomorrow xxxxx.

Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile Photo

Am in lndia to catch up with latest race on stem cell and gene engineering technology. Remember Mwalimu Nyerere once advised us to run while others walked. Pse pray for me to win this race.

Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile Photo

Midomo imeubwa kusema.wanasema wanachofikiria hata kama ni uongo lakini watauamini,wataueneza na watakuhukumu kwa uongo wao.”Kikwete 2009.”

Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile Photo

“Urafiki unaotokana na biashara zenu ni bora kuliko biashara itakayozaliwa kutokana na urafiki wenu”Billionea wa zamani wa Marekani John D,Rockefeller”