#ReformationsTz🇹🇿 (@reformationtz) 's Twitter Profile
#ReformationsTz🇹🇿

@reformationtz

Need for Reformations in Tz| Politics| Human Rights| Development |Socio-economy System | #KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | #NoReformationNoElection |

ID: 1244346559048933377

linkhttps://www.reformationTz.com calendar_today29-03-2020 19:32:13

13,13K Tweet

3,3K Followers

2,2K Following

Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿 (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Ukipanda SGR mabehewa ya “wananchi wa kawaida” watu wana furaha na wanapiga stori muda wote. Kule kwenye Business class watu wako busy, wengine wanafanya kazi; wengine wamevaa airphone. Wanawaza mambo makubwa, hawasemeshani hovyo

Michael Jr Assenga (@assenga_online) 's Twitter Profile Photo

Kipindi cha NYUMA Chadema wakiitisha Press ofisi fulani, Polisi wanvamia na kuzuia, ila saivi CHADEMA wanafanya Press conference online kutoka mahali hapajulikani na inafikia umaa wote. Kuna namna Utawala fulani utazidiwa kete ata wakitumia mabavu kias gani, wajitadhimini sana.

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Nlivyoona tu - Wapo IKULU… feeds inatoka IKULU… na Rais yupo pembeni…. Nkajua tu- Hii ni report ya Serikali na sio vinginevyo😅

#TajiriLaKihaya 

Nlivyoona tu - Wapo IKULU… feeds
inatoka IKULU… na Rais yupo pembeni….

Nkajua tu- Hii ni report ya Serikali na sio vinginevyo😅
Joseph Oleshangay (@oleshangay) 's Twitter Profile Photo

Lissu alitoa tahadhari kubwa sana miaka 13 iliyopita. Wengi walijifanya viziwi. Mkiambiwa mfumo wetu wa utawala utatupeleka shimoni muwe mnasikiliza

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi Wamekataa kuketi, kusomewa uongo Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏

Comrade Kicheche Jr (@kicheche_jr) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA kama vile imekufa vile kumbe wafuasi wake wametulia kama kirusi cha UKIMWI. Wakisema watu wapige kura ile box to box sidhani kama greens watatoboa.