KADIRI RAMADHANI (@ramadhanikadiri) 's Twitter Profile
KADIRI RAMADHANI

@ramadhanikadiri

كثرة المساس تزيل الاحساس

ID: 1256237072643489793

calendar_today01-05-2020 15:00:58

35 Tweet

52 Followers

512 Following

KADIRI RAMADHANI (@ramadhanikadiri) 's Twitter Profile Photo

KWELI LITOKEAPO JANGA AU MSUKOSUKO HIVI NDIPO PA KUKAGUA SAFU, NI NANI WA KUSIMAMA NAYE, MAANA RAIS WA NCHI ANAVYOLAUMIWA KIPINDI HIKI KUTOKANA NA CORONA WATU WANASAHAU KWAMBA NAYE PIA NI BINADAMU MWENZAO NA WANAMTUMAINIA DHAMANA YA UHAI WAO KULIKO HATA WANAVYOMTUMAINIA MUUMBA .

Mufti Menk (@muftimenk) 's Twitter Profile Photo

Every time you think you’ve reached a dead end, remember that when you see a wall, the Almighty sees a way; an opportunity. Your faith should keep you going. It tells you that no matter what lies ahead, the Almighty is there to clear the path for you. You have to trust Him!

KADIRI RAMADHANI (@ramadhanikadiri) 's Twitter Profile Photo

Huu uwekezaji ukiwekeza kingi ndivyo utakavyopata kingi, 8.75% ya ulichowekeza ndicho utakachokipata Kwa mwaka Kwa muda wa Miaka 3. Mfano ukiwekeza 1bn, inamaanisha utajipatia wastani wa 80.7m Kila mwaka ambayo ukizidisha mara 3yrs uliyowekeza basi hautakosa zaidi ya 240m 🍷

Mkopo wa Elimu ya Juu bila Riba Kama umekwama usiakhirishe mwaka, Tanzania Education and Development Trust (TEDT) tukusaidie kutimiza ndoto zako za masomo. Dar:Makumbusho Derm Plaza Gorofa 5 Ofisi no. 4 simu 0749035108 Znz: Ofisi za UKUEM Mtaa wa Rajabia Kijangwani 0756024832

Mkopo wa Elimu ya Juu bila Riba
Kama umekwama usiakhirishe mwaka, Tanzania Education and Development Trust (TEDT) tukusaidie kutimiza ndoto zako za masomo.

Dar:Makumbusho Derm Plaza Gorofa 5 Ofisi no. 4 simu 0749035108

Znz: Ofisi za UKUEM Mtaa wa Rajabia Kijangwani 0756024832
KADIRI RAMADHANI (@ramadhanikadiri) 's Twitter Profile Photo

Unaweza fungua link hio na kufuata maelekezo kuona kitambulisho chako cha Nida mahala kilipo kama bado hujachkua vitambulisho.nida.go.tz

KADIRI RAMADHANI (@ramadhanikadiri) 's Twitter Profile Photo

TEDT tunatoa mkopo wa elimu ya juu bila ya riba wala gharama yoyote kuanzia Diploma hadi PhD ndani na nje ya nchi. Karibu, Dar: Makumbusho Derm Plaza Gorofa 5 Ofisi #4 au simu 0749035108 Zanzibar: Amaan Bombay Bazaar Centre Ghorofa 2 ofisi namba C3 au piga simu 0756024832

TEDT tunatoa mkopo wa elimu ya juu bila ya riba wala gharama yoyote kuanzia Diploma hadi PhD ndani na nje ya nchi.
Karibu,
Dar: Makumbusho Derm Plaza Gorofa 5 Ofisi #4 au simu 0749035108

Zanzibar: Amaan Bombay Bazaar Centre Ghorofa 2 ofisi namba C3 au piga simu 0756024832