RQ(@ramadhan_qhadid) 's Twitter Profileg
RQ

@ramadhan_qhadid

#Mgunduzi

ID:889975604954714112

calendar_today25-07-2017 22:28:13

4,4K Tweets

537 Followers

509 Following

Dr SALUMU(@Dr_salumu) 's Twitter Profile Photo

LEO TUANGALIE WALAU KWA UCHACHE FAIDA NA VIRUTUBISHO VYA TENDE

Tende ni matunda yenye kiasi kikubwa cha nyuzilishe, protini, nishati, madini chuma, Calcium, zinc, copper, magnesium pamoja na aina mbalimbali za sukari.

Huwa pia na viondoa sumu

#LISHE LEO TUANGALIE WALAU KWA UCHACHE FAIDA NA VIRUTUBISHO VYA TENDE Tende ni matunda yenye kiasi kikubwa cha nyuzilishe, protini, nishati, madini chuma, Calcium, zinc, copper, magnesium pamoja na aina mbalimbali za sukari. Huwa pia na viondoa sumu
account_circle
RQ(@ramadhan_qhadid) 's Twitter Profile Photo

Mwanasiasa wa Uganda, Evelyn Anite alinyang'anya gari la wagonjwa(ambulance) alilotoa kwenye jimbo alilokuwa akigombea wakati wa kampeni , baada ya kushindwa katika uchaguzi wa 2021.

Mwanasiasa wa Uganda, Evelyn Anite alinyang'anya gari la wagonjwa(ambulance) alilotoa kwenye jimbo alilokuwa akigombea wakati wa kampeni , baada ya kushindwa katika uchaguzi wa 2021.
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

KABURI MOJA,CITY CENTER POSTA.

(KABURI LILOGOMA KUHAMISHWA)

Hili kabuli hili historia yake haijaandikwa sehemu yoyote

Ni kaburi la aliyekuwa SHARIFA (Kiongozi) wa kipindi Mtawala wa ZANZIBAR, Bwana MAJID BIN SAID ambaye ndiye aliyeanzisha Darra Salaam (Dar es Salaam).

Ni

KABURI MOJA,CITY CENTER POSTA. (KABURI LILOGOMA KUHAMISHWA) Hili kabuli hili historia yake haijaandikwa sehemu yoyote Ni kaburi la aliyekuwa SHARIFA (Kiongozi) wa kipindi Mtawala wa ZANZIBAR, Bwana MAJID BIN SAID ambaye ndiye aliyeanzisha Darra Salaam (Dar es Salaam). Ni
account_circle
RQ(@ramadhan_qhadid) 's Twitter Profile Photo

Huyu jamaa anaitwa central bearded dragon ni mijusi adimu sana lakini huwezi amini huko kwa wenzetu Marekani kuna watu wamepata ajira kupitia hawa wadudu wanawafuga na kuwauza kwa watu wengine bei zake wakiwa wadogo wadogo (babies) wanagharimu kuanzia dollar $35 mpaka $40 Tsh 92

DOCHA (@ALugandu) 's Twitter Profile Photo

ZIJUE ALAMA ZA DASHBOARD YA GARI YAKO NA MATUMIZI YAKE..!

NB: TAA NYEKUNDU IKIWAKA SIO YA KULETEA UZEMBE HATA KIDOGO.

ZIJUE ALAMA ZA DASHBOARD YA GARI YAKO NA MATUMIZI YAKE..! #UZI NB: TAA NYEKUNDU IKIWAKA SIO YA KULETEA UZEMBE HATA KIDOGO.
account_circle