Ahmad (@rajuquire) 's Twitter Profile
Ahmad

@rajuquire

“Kukinai, kuridhika ni hazina isiyo filisika.”

ID: 1426747723961802753

calendar_today15-08-2021 03:29:20

109,109K Tweet

3,3K Followers

1,1K Following

Ahmad (@rajuquire) 's Twitter Profile Photo

Dunia inanyenyekesha watu na kuwafanya wawe na adabu, itafika hatua hata ile energy uliyokuwa nayo wakati unafanya kazi itapungua (umri), hata ile kampuni iliyokuwa inakutegemea kwa ufanisi mzuri wa kazi nao wataanza kukutaftia msaidizi atakayerithi mikoba yako (be humble)