Rajab Shaka (@rajabshaka) 's Twitter Profile
Rajab Shaka

@rajabshaka

life is a teacher how we live is what we learn

ID: 1233367083079151616

calendar_today28-02-2020 12:23:39

267 Tweet

30 Takipçi

264 Takip Edilen

The HR (@kelvinmwitatz) 's Twitter Profile Photo

Job Interview Tips Question: What is your weakness?/What are your weaknesses? Swali hili limekaa kimtego, ni kama unaambiwa tupe sababu kwa nini tusikuajiri 😁. Hilo siyo lengo lake lakini ukijichanganya waweza mpa mwajiri sababu ya kukutema. Katika kujibu swali hili wapo watu

Job Interview Tips

Question: What is your weakness?/What are your weaknesses?

Swali hili limekaa kimtego, ni kama unaambiwa tupe sababu kwa nini tusikuajiri 😁. Hilo siyo lengo lake lakini ukijichanganya waweza mpa mwajiri sababu ya kukutema.

Katika kujibu swali hili wapo watu
Rajat Soni, CFA (@rajatsonifnance) 's Twitter Profile Photo

I'm passionate about using my CFA to help more people become financially literate. If you like my content, make sure to: - Retweet the first tweet - Follow me: - Subscribe to my newsletter: rajatsonifinance.com Thanks for reading!

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Biashara ya chakula ndio biashara inayoongoza ktk mzunguko wa Kila siku ktk soko Iwe chakula ghafi au chakula kilichopikwa. Chakula ndio biashara pekee isiyokuwa na MSIMU kwa sababu chakula huliwa kila siku. Ifuatayo ni tafiti ndogo kuhusu biashara hii, hasa kilichopikwa🧵👇🏾

Biashara ya chakula ndio biashara inayoongoza ktk mzunguko wa Kila siku ktk soko

Iwe chakula ghafi au chakula kilichopikwa. 

Chakula ndio biashara pekee isiyokuwa na MSIMU kwa sababu chakula huliwa kila siku. 

Ifuatayo ni tafiti ndogo kuhusu biashara hii, hasa kilichopikwa🧵👇🏾
#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Makosa (3) yanayoweza kukupunguzia nafasi ya kufaulu usaili wa kazi: 1) Kutofuta maudhui yasiyofaa ikiwemo picha zako kwenye mitandao ya kijamii Hebu fikiri! Kwa mfano, usaili umeenda vizuri na aliyekufanyia usaili ana nia ya dhati ya kutaka kukupa nafasi, lakini ghafla...

Makosa (3) yanayoweza kukupunguzia nafasi ya kufaulu usaili wa kazi:

1) Kutofuta maudhui yasiyofaa ikiwemo picha zako kwenye mitandao ya kijamii

Hebu fikiri! Kwa mfano, usaili umeenda vizuri na aliyekufanyia usaili ana nia ya dhati ya kutaka kukupa nafasi, lakini ghafla...
Bishal Nandi (@learnwithbishal) 's Twitter Profile Photo

I'm surprised not many people use AI on their phones. It helps you do more in less time. Here are 6 ways to use Al on your phone (for $0) [🔖Bookmark for later]*

I'm surprised not many people use AI on their phones. 

It helps you do more in less time. 

Here are 6 ways to use Al on your phone (for $0)

[🔖Bookmark for later]*
#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

9. Jitambulishe/ Introduce Yourself Hii ni sehemu muhimu kwenye interview. Prompt - Prepare a brief introduction about myself focusing on my experiences in [Specific Field/Technology] for the [Title] interview at [Company]. END, baadhi ya Prompts ziko online (copied)

The SamurAI (@samuraipreneur) 's Twitter Profile Photo

Everyone's using AI to write emails.. Smart people are using it to build a side income. 17 AI business ideas they don't want you to know: ↓

Everyone's using AI to write emails..

Smart people are using it to build a side income.

17 AI business ideas they don't want you to know: ↓