MazoeaWaNgoswe (@rahmachuwa) 's Twitter Profile
MazoeaWaNgoswe

@rahmachuwa

Nature Lover| Memes Addict| Alumni @UDSM| PR & Journalist| Dont take it personal| Believe me At Your Own Risk|

ID: 1219564622728089600

calendar_today21-01-2020 10:17:29

38,38K Tweet

12,12K Takipçi

4,4K Takip Edilen

MazoeaWaNgoswe (@rahmachuwa) 's Twitter Profile Photo

Serikali itaendelea kuimarisha sekta isiyo rasmi ili kuongeza ajira zenye staha – Dkt. Samia Suluhu Hassan. Serikali inachukua hatua madhubuti kuhakikisha ajira bora na endelevu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema amani na utulivu ni msingi wa ustawi wa Wafanyakazi na maendeleo ya Taifa.

Serikali chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeratibu ajira 7,500 za vijana nje ya nchi, ikilenga kuongeza fursa na kuboresha maisha ya vijana wetu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imeanza kulipa malimbikizo ya madeni ya hifadhi ya jamii, posho za likizo na uhamisho.

“Serikali imezindua hifadhi skimu ili kuhakikisha wananchi waliojiajiri au walio katika sekta isiyo rasmi wanajumuisha katika mfumo hifadhi ya jamii”- Rais Samia Suluhu Hassan

“Naishukuru sekta binafsi kwa asilimia 80 ya waajiri wa sekta binafsi wameanza kulipa viwango hivyo na tunaendelea kuzungumza na asilimia 20 iliyobaki ili walipe kima hicho cha chini cha mshahara”- Rais Samia Suluhu Hassan

"Katika hili nakubaliana na TUCTA kuwa tunahitaji utaratibu wa wazi wa usimamizi madhubuti wa watanzania wanaokwenda kufanya kazi nje ili kuhakikisha haki na maslahi yao yanalindwa ipasavyo"- Rais Samia Suluhu Hassan

“Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi na vijana wa kitanzania 7593 tumewapatia ajira nje ya nchi mipango ya kutafuta fursa zaidi nje ya nchi inaendelea ili kupunguza changamoto za ajira kwa vijana wetu”-Rais Samia Suluhu Hassan

“Nimefarijika kuona mmeamua kushabihisha maadhimisho ya siku hii ya wafanyakazi na Dira yetu ya Taifa ya Maendeleo kwa kauli mbiu inayosema kazi zenye staha ni nguzo imara kwa maendeleo endelevu katika utekelezaji wa Dira ya Taifa 2050”- Rais Samia Suluhu Hassan

Rais wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame anatarajiwa kuwasili nchini, kesho Jumapili, tarehe 03 Mei 2026, kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Katika ziara hiyo, Rais Kagame atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame anatarajiwa kuwasili nchini, kesho Jumapili, tarehe 03 Mei 2026, kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Katika ziara hiyo, Rais Kagame atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
MazoeaWaNgoswe (@rahmachuwa) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame amewasili nchini kwa Ziara ya Kikazi ya siku moja yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa uwili kati ya Tanzania na Rwanda.

Mhe. Rais Kagame anatarajia kukutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam. Inategemewa kwamba Ziara hii itadumisha uhusiano wa kihistoria uliopo kati ya majirani hawa wawili.

Mhe. Rais Kagame anatarajia kukutana na kufanya mazungumzo  na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Inategemewa kwamba Ziara hii itadumisha uhusiano wa kihistoria uliopo kati ya majirani hawa wawili.
MazoeaWaNgoswe (@rahmachuwa) 's Twitter Profile Photo

Ushirikiano kati ya Tanzania na Rwanda umezidi kuimarika katika miaka ya hivi karibuni ambapo kwa kupitia Tume ya Kudumu ya Pamoja (JPC), Tanzania imeendelea kuwa miongoni mwa washirika wakuu watatu wa biashara wa Rwanda duniani, huku kiwango cha biashara kikiongezeka kila mwaka.

Kuanzia mwaka 1990 hadi Machi 2026, Tanzania imesajili miradi 42 ya uwekezaji kutoka Rwanda yenye thamani ya dola za Marekani milioni 325.53 na kutoa ajira 2,225 katika sekta mbalimbali ikiwemo viwanda, usafirishaji, huduma za kifedha, maliasili na utalii.

Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame amewasili Ikulu Dar es Salaam na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

MazoeaWaNgoswe (@rahmachuwa) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026.