
KBC Radio Taifa
@radiotaifafm
Ukurasa Rasmi wa KBC Radio Taifa. Stesheni ya shirika la utangazaji nchini KBC, Inayoongoza kwa vipindi komavu na watangazaji wenye tajriba.
ID: 1410105788
https://radiotaifa.kbc.co.ke/ 07-05-2013 12:11:20
91,91K Tweet
70,70K Takipçi
1,1K Takip Edilen

Kesho kwenye Gumzo Pevu tutazungumzia Usalama wa Chakula humu nchini.... Wageni ni Fredrick Ochieng kutoka Biovision Africa Trust na Dorothy Nditi (Head of Food security - office of the DP) Ungependa tuulize Swali gani... ? #FoodSecurity #agroecology Knowledge Hub for Organic Agriculture inEastAfrica The Organic Farmer
