PRIMO'S TV (@primost22880081) 's Twitter Profile
PRIMO'S TV

@primost22880081

Ev.Primo Roman

ID: 1510969979583307783

calendar_today04-04-2022 13:19:32

26 Tweet

145 Followers

911 Following

PRIMO'S TV (@primost22880081) 's Twitter Profile Photo

Cards za kieletronic za Chama Cha Mapinduzi zimekuwa kivutio kikubwa kwa Watanzania. Kupata Kadi hii ni rahisi mno vigezo na masharti kuzingatiwa💯

Cards za kieletronic za Chama Cha Mapinduzi zimekuwa kivutio kikubwa kwa Watanzania.
Kupata Kadi hii ni rahisi mno vigezo na masharti kuzingatiwa💯
PRIMO'S TV (@primost22880081) 's Twitter Profile Photo

Makamanda wa Kristo wakiwa Katika harakati za kuimalisha Upendo na Amani Dodoma. Kushoto Ndug. Askof. Israel Maasa Katibu Mkuu Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Mama Anne Makinda Mjumbe wa Bodi na Kamati ya Maadiri ya Jumuiya ya Maridhiano na Kulia kwako Ndug. Ev.Primo Roman

Makamanda wa Kristo wakiwa Katika harakati za kuimalisha Upendo na Amani Dodoma.
Kushoto Ndug. Askof. Israel Maasa Katibu Mkuu Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Mama Anne Makinda Mjumbe wa Bodi na Kamati ya Maadiri ya Jumuiya ya Maridhiano na Kulia kwako Ndug. Ev.Primo Roman