Hassan Abbasi (@positivist2025) 's Twitter Profile
Hassan Abbasi

@positivist2025

I'm currently the Chief Spokesperson of the government of Tanzania I Kwa sasa ninayodhima ya kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania.

ID: 770208413896892416

linkhttp://www.tanzania.go.tz calendar_today29-08-2016 10:36:10

40 Tweet

3,3K Takipçi

30 Takip Edilen

Hassan Abbasi (@positivist2025) 's Twitter Profile Photo

Ufafanuzi: Taarifa kuwa Serikali imepanga kuwasilisha sheria ya kufuta posho zote za watumishi wa umma haina chembe ya ukweli.Ipuuzwe.

Hassan Abbasi (@positivist2025) 's Twitter Profile Photo

Waziri Nape: Serikali itatoa elimu zaidi kwa umma kuhusu Sheria ya Huduma za Habari,2016 ili kuondoa upotoshaji na kurahisisha utekelezaji.

Hassan Abbasi (@positivist2025) 's Twitter Profile Photo

I thank God Almighty and everybody. Ni kama mtakavyosoma hapa. Imekuwa kweli.Asanteni wote. tanzaniaofficialblog.blogspot.com/2016/12/mkurug…

Hassan Abbasi (@positivist2025) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA:Wizara ya Afya itatangaza utaratibu mpya siku ya J3 kwa lengo la kuwapatia wanachi unafuu wa kupata tiba ya sumu ya nyoka.

Hassan Abbasi (@positivist2025) 's Twitter Profile Photo

Tunawatakia watanzania wote mapumziko mema ya sikukuu za Christmas na mwaka mpya.Tuendelee kuiombea nchi yetu na Serikali yetu ya Awamu ya 5

Hassan Abbasi (@positivist2025) 's Twitter Profile Photo

UhuruwaHabari: Wamiliki wa Vyombo vya Habari tunaridhika na hatua za kimageuzi zinazotekelezwa na Rais Magufuli-Bw. Nanai kwa niaba ya MoAT.

Hassan Abbasi (@positivist2025) 's Twitter Profile Photo

Wapo wanaodhani uhuru wa habari ni kusema chochote na wakati wowote na juu ya yeyote.Nitaidadavua kifalsafa na kisheria. Dkt. H.Abbasi

Wapo wanaodhani uhuru wa habari ni kusema chochote na wakati wowote na juu ya yeyote.Nitaidadavua kifalsafa na kisheria.

Dkt. H.Abbasi