Prof. Joyce Lazaro Ndalichako
@pndalichako
Official Page of Member of Parliament representing Kasulu Town Constituency/ Ukurasa rasmi wa Mbunge wa Kasulu Mjini
ID: 1393961582137315328
https://instagram.com/prof_joyce_ndalichako?utm_medium=copy_link 16-05-2021 16:09:14
465 Tweet
7,7K Takipçi
28 Takip Edilen
Nimeungana na Makamu wa Rais wa JMT Mhe.Dr. Philip Isdor Mpango pamoja na viongozi wa Vyama vya Waajiri katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es salaam wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 7 wa Wadau wa Kijamii wa Afrika katika masuala ya Kazi na Ajira. Kazi inaendelea
Nikijadiliana jambo na Mhe. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa 📍Bungeni, DODOMA Kazi inaendelea.
Tunamshukuru sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu kazi inaendelea.
Tunamshukuru Mungu tumeweza tumekutana na mabalozi wote 490 wa Jimbo la Kasulu Mjini, tumegawa bendera 550 za Chama Cha Mapinduzi na kuzungumza nao kwenye semina maalum. Nawashukuru sana wananchi wa Kasulu Mjini kwa upendo wao. Umoja ni nguvu. Kazi inaendelea