Mwango principle!↩️ (@piusymwangonela) 's Twitter Profile
Mwango principle!↩️

@piusymwangonela

#Economist. No why, Then do it.

ID: 1668852018474106881

calendar_today14-06-2023 05:27:40

2,2K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Mwango principle!↩️ (@piusymwangonela) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu walifanyika kuwa madaraja na nyenzo muhimu katika safari ya maisha. Lakini ni Kwa bahati mbayà sana MUNGU ameamua kuwachukua ikiwa bado hatima za ndoto zetu zilikuwa mikononi mwao. MPUMZIKE KWA AMANI MAKAMANDA WOTE

MR ADAMSON (@billadamson_) 's Twitter Profile Photo

Baada ya safari ndefu,hatimae…. Bendera ya Taifa 🇹🇿 ipo mikono salama.Niite Bill Tanzanite….NAKUPENDA TANZANIA.🇹🇿

Mwango principle!↩️ (@piusymwangonela) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu wana tupambania na wana amini katika uwezo wetu bila kujali mapungufu yakibinadamu tulionayo Hakika majina yenu yamechorwa Kwa kalamu ya moto mioyoni mwetu

NAOMI FUJO (@naomi_fujo) 's Twitter Profile Photo

Kuna Dogo Alikua Anauza Ngano, Miaka 5 Nyuma Alikua Ananyumba Hadhi Ya Ghorofa 3. Alikua Anapush BMW X6, Prado Tx. Kijijini Kwa Mama Ake Alijenga Nyumba Ya Mfano Mpk Leo Aijawai Kuchuja, Akamnunulia Mama Ake V8. Alafu Dogo Akaja Kudanja Kwa Kupigwa Shaba!! Usaliti Ni Mbaya💔

Nathan Paul S (@fikra_pevu) 's Twitter Profile Photo

Heshima kwa watu wote waliowahi kutuamini/wanatuamini na kutupa kazi na fursa bila kujali uzoefu wetu, elimu, background wala umri.

Mwango principle!↩️ (@piusymwangonela) 's Twitter Profile Photo

Tafuta nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela, katika kupitia hatua hizi lazima ukubali maumivu ya mchakato wa lazima.