
PITHONI✍️
@pithoni1
Set worries aside. God is greater.
ID: 1851874746335391744
31-10-2024 06:32:23
5,5K Tweet
925 Takipçi
730 Takip Edilen












MASTAA Adui Wa Yanga 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 Uongozi wa Mama Samia umeleta heshima na thamani kwa machinga nchini! Hili ni jambo la kihistoria kuwaona sasa wakisimama kueneza mema ya uongozi wake ni ishara tosha ya mabadiliko ya kweli. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

MASTAA Adui Wa Yanga 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 Mama Samia Anaweka mbele maendeleo ya nchi lakini bila kusahau utu #kazinautu #Tunasongambele

MASTAA Adui Wa Yanga 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kiongozi msikivu ambaye anatatua kero za wananchi wake kwa vitendo zaidi. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

MASTAA Adui Wa Yanga 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 Historia mpya imeandikwa machinga si wanyonge tena, bali ni nguzo ya uchumi wa taifa. Asante Mama yetu! #kaziNaUtu #TunasongaMbele

MASTAA Adui Wa Yanga 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 Uongozi wa Mama Samia umeweka heshima kwa wafanyabiashara wadogo, sasa machinga wanabeba ujumbe wa matumaini na maendeleo. #KaziNaUtu #TunasongaMbele

BABA AIKA✍️ 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 MASTAA Muda wa kuchukua hatua umefika. Kawe itoe somo kwa wanasiasa waongo kama Gwajima.

BABA AIKA✍️ 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 MASTAA Ahadi ya mbunge ndo ilani ya chama mnajitekenya😁😁

BABA AIKA✍️ 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 MASTAA Huyu ni mpigaji tu Kwa kivuli Cha kanisa

NDUBEPROPERTY🇹🇿 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 MASTAA Gwajima aliuza ndoto za vijana wa Kawe kwa maneno matupu,ahadi ya Japan imekuwa hadithi ya abunuwasi.