peter severini (@peterseverini) 's Twitter Profile
peter severini

@peterseverini

Film Producer & Director , certificate of Cargo Tallying,
Diploma Holder of Business administration,

Degree Holder of Logistics and Transport Management

ID: 570844957

calendar_today04-05-2012 13:44:11

186 Tweet

33 Takipçi

56 Takip Edilen

peter severini (@peterseverini) 's Twitter Profile Photo

Kwa Wale WADADA Wanaotuacha Sisi Type Zao Na Kwenda Kwa Wazee (Sponsors) Malipo Hapa Hapa Duniani, Yaani Mkizaa Mabinti Zenu Na Wenyewe Wataanza Kututafuta Sisi Wakati Huo Tushakua Wakubwa Kama Baba Zao 😀😀

peter severini (@peterseverini) 's Twitter Profile Photo

Hekima haiuzwi... Ukigombana na Kila mtu utayakimbiza maarifa.. . . #SEVERINI @ Mabibo Makutano Dispensary instagram.com/p/B8kXYy6F4va/…

peter severini (@peterseverini) 's Twitter Profile Photo

Tunaishi Katika Dunia Ambayo Kila Mtu Anataka Aonekane Msafi Machoni Pa Watu Hata Kama Usafi Huo Utagharimu Furaha Haki Na Maisha Ya Watu Wengine, #SEVERINI @ Mkuki House Shopping Mall instagram.com/p/B9DFUQTnfCO/…

peter severini (@peterseverini) 's Twitter Profile Photo

"Situmii nguvu kwa wajinga Kwasababu waerevu wananielewa.. Ili kizuri kitokee ni lazima kibaya… instagram.com/p/BCxdUeLMvJq/

peter severini (@peterseverini) 's Twitter Profile Photo

Tangu asubuhi naandika na kufuta kwasababu yakukosa maneno yatakayoendana na walau 0.5 ya 10 ya… instagram.com/p/BFKmcblsvJP/

peter severini (@peterseverini) 's Twitter Profile Photo

KADO.. Haramu haiwekwi hadharani Director kaziniii nikielekeza.. Written ,produced and directed… instagram.com/p/BHhFRSchfxQ/

peter severini (@peterseverini) 's Twitter Profile Photo

"..aliyesema waende jandoni aliiona kesho.Waache ,waacheni waende mkoleni maana ile ndiyo shule… instagram.com/p/BH0g4NuBVqy/

peter severini (@peterseverini) 's Twitter Profile Photo

Congrats my brother gabozigamba1 ...kwa kushinda tuzo ya Ziff usiku wa jana..Best actor 2016.. U… instagram.com/p/BH9CzAMhE-J/

peter severini (@peterseverini) 's Twitter Profile Photo

Mwenzako haoneshi dalili yoyote ya kutaka kuwa nawewe. Lakini bado unalazimisha tu, Hivi kwani… instagram.com/p/BIviH5kBxuX/