Timu Mwamba inatumia vibaya kiti. Wametoa maelekezo watu wasiomuunga mkono Lissu wasipewe vitambulisho vya kuingia kwenye chumba Cha kupiga kura kesho.
Natoa wito kwa wote watakaonyimwa vitambulisho, wafike Mlimani City kesho 'tukiwashe'.
Huu uhuni wa kumbeba Mbowe haukubaliki.