Patrick John Assenga (@patrickjassenga) 's Twitter Profile
Patrick John Assenga

@patrickjassenga

Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea |
Mgombea Ubunge Rombo 2020 |
Diwani Tabata 2015-2020 |

ID: 1304450959205072898

calendar_today11-09-2020 16:06:10

10,10K Tweet

76,76K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Patrick John Assenga (@patrickjassenga) 's Twitter Profile Photo

Jitokezeni nyie wenyewe... Acheni kuwatuma hawa makatibu wa MATAWI uku mkijua hawana MAMLAKA hayo ya KIKATIBA ya kumfuta UANACHAMA kiongozi wa KANDA . Tukiwachukulia HATUA za KINIDHAMU msitoe MLIO.

Jitokezeni nyie wenyewe...

Acheni kuwatuma hawa makatibu wa MATAWI uku mkijua hawana MAMLAKA hayo ya KIKATIBA ya kumfuta UANACHAMA kiongozi wa KANDA . Tukiwachukulia HATUA za KINIDHAMU msitoe MLIO.